Recent content by mzeenyoka

  1. mzeenyoka

    House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Boss nataka fremu ROCK CITY MALL nataka DRY CLEANER ndugu yangu chumba kiwe 12*12 amba Ingia inbox mkuu
  2. mzeenyoka

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Ndugu zangu Naombeni wazo la biashara nzuri
  3. mzeenyoka

    Sheria ya mtandao kuna baadhi vipengele n vzr sana

    Pamoja na Ambart kutoa video chafu lkn sijaona watu wanarusha uwanja wazi watu wengine nimeona wanazungumzia connection yaani wanatumiane huko INBOX Nitumie Fursa hii kuipongeza serekali ya JPM hasa kwenye hiki kipengele cha kuzuia VIDEO CHAFU na kuraani hawa vijana wawili ambart na mwenzie...
  4. mzeenyoka

    Natafuta kiwanja Dodoma

    Ktkt ya Dom na singina Umeme tunasubiri leya phase iii 50*40
  5. mzeenyoka

    Leo nataka niwashauri baadhi ya watu wa Serikali!

    Huu ushauri uchukueni ktk mtazamo chanya(nafanya hivi kwa mapenzi ktk nchi yangu)) Kunabaadhi ya wafanyakazi Wa serekali wanaitazama mitandao ya kijamii katika jicho hasi sana Nimesoma katika gazeti LA mwananchi BABU TALE anasema kupitia acc. Yake ya instagram kwamba endapo atapewa eneo na...
  6. mzeenyoka

    Serikali isiogope kuyafungia makanisa holela ya kilokole; hawana madhara kwanza huwa hawapigi kura hawa ya nini kuwaogopa?

    Mtandao n kama kololo linabeba kila kitu wkt wakuvua!!! Hoja zako imebidi nikae kimya kabisa OK alamsiki mkuu
  7. mzeenyoka

    Serikali isiogope kuyafungia makanisa holela ya kilokole; hawana madhara kwanza huwa hawapigi kura hawa ya nini kuwaogopa?

    Swala imani n jambo muhimu sana bila viongozi Wa dini siamini kama tungeishi kwa upendo ndio maana hakuna sehemu umewahi kuona msikiti na kanisa vipo pamoja!!! Makanisa kujengwa katika makazi ya watu kuomba kwa maspika makubwa usiku Wa manena wakati watu wanataka wapumzike, wengine n wagonjwa...
  8. mzeenyoka

    Serikali isiogope kuyafungia makanisa holela ya kilokole; hawana madhara kwanza huwa hawapigi kura hawa ya nini kuwaogopa?

    Ujui umuhimu Wa social media kweli!!!sheria,mapinduzi,mabadiliko, mipasuko,ugaidi chanzo n hii mtandao Mkuu Kila Moshi unamoto Mkuu
  9. mzeenyoka

    Serikali isiogope kuyafungia makanisa holela ya kilokole; hawana madhara kwanza huwa hawapigi kura hawa ya nini kuwaogopa?

    Mm mkristu kama ww nimewahi kuishi krbu na msikiti ki ukweli jamaa ndio walikuwa ALAMU YANGU ikifika tu huo muda wanapiga adhana yao SAA kumi na moja asubuhi naamka nasoma nusu SAA then mazoezi nusu SAA baada ya hapo shule
  10. mzeenyoka

    Namna bora kumkosoa Namba moja !!!!!!

    Kunasheria ya mtandao Mkuu,uchochezi unajua hata ww unhekuwa kiongozi huwezi kukubali kukosolewa kwa kudharirishwa mkuu
  11. mzeenyoka

    Namna bora kumkosoa Namba moja !!!!!!

    Asanteni kwa ushauri jmn
  12. mzeenyoka

    Namna bora kumkosoa Namba moja !!!!!!

    Umenishauri niache Mkuu!!
Back
Top Bottom