Mtoa mada inaonekana unao chuki yako binafsi na hawa polici wa tz. Lakini hadi umemaliza andiko lako ujasema wala kutaja sababu zako za msingi za kutukataza tusiewe na uhusiano nao. Ww kama unazoki zako binafsi usituhusishe. Ukifanya vibaya au mjuaji lazma ujuane na wababe kama ww. Polici ni...
Kijana bado upo mtoto. Endelea kula kwa mjomba na kulala kwa baba... Ukishajua jinsi ya kutafuta pexa ndo hapo hapo utaanza kupata hao mademu unaowataka
Dini yote duniani hayijawahi kuamrisha waumini wake wawe wahuni . Kama umekosa malezi hata imani utayikosa uwe mkristo au mwisilamu. Hamna aliezuyiliwa asile chakula kipindi cha ramadhani. ila umekatazwa kula chakula hadharani. ktk maeneo ya umma. Umekatazwa kuvya nguo fupi na kutembea nusu...
Hapa naona toka mwanzo hujakua na nia nzuri ya kuoa. Na wala ww sio muoaji. Ni mnusa mto!!!! umeshaamua kumnyanyasa mtoto wa watu. Na Mwanamke mwenyew kama amedhibitiwa na jinamizi la mikosi ya Ngono.. Ushauri wangu rudia mungu wako ili uanze kupata amani ya nafsi.
Maajaabu ya Tanzania.
Tanzania pekee ndio nchi duniani kila rai ni mtaalam. Mwalimu na mwanafunzi wanalingana maarifa.
Kwani tujadili gharama ya ikulu ilihali sote tunatambua kua ndio makazi namba moja ya muongoza nchi. Amiri Jeshi - Mwajiri mkuu - na mlinda pexa za nchi yetu.
Tukubaliane...
Kwani ww umeshasaidia majirani zako mara ngapi?
Tusiwe wapeci kulaumu serikali au matamshi ya wanasiasa.
Na sisi rai kila moja wetu anao nafaci aliojaaliwa na mungu. Kutoa ni moyo.
Kama kweli unaumwa mwili na kuchoka mara kwa mara. Baci njia rahisi ni kujifukiza mvuke. Piga nyungu iliotimia utarudi kutuhadisia.
Lakini kama umeandika uzi wako huu kwa dhihaka baci na ww mungu atakudhihaki na kukuswarifu...
Pole kwa mitihani ya mtoto. Ningependa kukushauri uangalie kwa upande wa pili. Rudi kwa muumba wako . Kama ww ni mkristo baci mpleke kwenye makanisa ya wacha mungu sio maomba mungu. Na kama imani yako ni kiisilamu baci tafuta sheikh aliebobea kwenye naombi ya "manamini" Sio atakaejigamba kumtibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.