Mimi nikotofauti na hii fikra ambayo pia hapo zamani nlijua ivo kutokana na mapokeo ya kijamii ila kwa siku hizo najuaga Mungu aliumba binadamu ili akatawale dunia na vyote viujazavyo kwa lugha ingine ni kwamba Mungu alitaka kutawala dunia kwa kukaimisha madaraka kwa mwanadamu...nimewakilisha tu
Kanuni ni hii kwa mtazamo wangu...usizoeane na mwanamke yoyote mpaka ukapitiliza coz mwisho wake anageuka kuwa mzuri kwako na utaona anafaa kwa matumizi japo sio lazima ...ni general idea
Habari ndugu wana jamii ya Tanzania, Kila mahali tunaishi kwa foleni.. zingine ni za msingi lakini zingine sio za lazima kama bank (one teller ila madirisha 6).
Ferry (one server madirisha 2 mpaka 3), Kigamboni bridge (one or two servers ila kuna madirisha mengiVtu).
Hii inatokana na uzito wa...
Unajua mfumo wa hii dunia ni ngumu sana na ni mfumo uliotekwa ,
Kwa upande wa kimunungu kuna mfumo ambao Mungu aliplan dunia iwe na bahati mbaya mambo yaliharibika(Adam+Eve mistakes) na ikapelekea mfumo mwingine(yaani uliotekwa).
Sasa kanuni ni hii:-
Ili wanawake + wanUme (jamii kiujumla )...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.