bilemasome
Member
- Oct 31, 2016
- 48
- 9
Ni matumaini yangu mwenyezi mungu anawabariki katika shughuli zenu..!!
wataalam natafuta mtu anayeuza galatone(gitaa/ acoustic guitar) lenye fret board nyembamba, anayeuza seriously basi naomba anitafuta via 0763 10 79 31. au gandonura123@gmail.com
budget yangu ni kuanzia 80,000-100000/=.
nipo mkoa wa dar es salaam..
**********GOD ALMIGHTY BLESS U ALL**********