Tanzania bila foleni haiwezekani, kila mahali foleni

mzeemitomingi

JF-Expert Member
Aug 3, 2014
267
74
Habari ndugu wana jamii ya Tanzania, Kila mahali tunaishi kwa foleni.. zingine ni za msingi lakini zingine sio za lazima kama bank (one teller ila madirisha 6).

Ferry (one server madirisha 2 mpaka 3), Kigamboni bridge (one or two servers ila kuna madirisha mengiVtu).

Hii inatokana na uzito wa kufikiria,
Kutokujali mida ya watu,
Kuridhika kupita kiasi,
Culture ya uvivu bila kujijua.

Au tuna shida gani?

Wenye kuelewa atupe mawazo yake tujitathimini

Santeni
 
Nenda Bank kama wataka toa weka au toa pesa nyingi mfano kama watoa kuanzia 1,000,000 bora upange foleni maana makato ni madogo kuliko kwa wakala.

Kuweka sambaza kwa wakala
 
Nenda Bank kama wataka toa weka au toa pesa nyingi mfano kama watoa kuanzia 1,000,000 bora upange foleni maana makato ni madogo kuliko kwa wakala.

Kuweka sambaza kwa wakala
Hili ni la muhimu kabisa
 
Na ndio maana Rushwa pia haiishi nchini kwetu, kuna watu wanatengeneza mazingira kabisa ya rushwa akija anawakuta kwenye foleni, huku na huku unashangaa kashapata huduma nyie mnaendelea kusubiri foleni isogee
 
Habari ndugu wana jamii ya Tanzania, Kila mahali tunaishi kwa foleni.. zingine ni za msingi lakini zingine sio za lazima kama bank (one teller ila madirisha 6).

Ferry (one server madirisha 2 mpaka 3), Kigamboni bridge (one or two servers ila kuna madirisha mengiVtu).

Hii inatokana na uzito wa kufikiria,
Kutokujali mida ya watu,
Kuridhika kupita kiasi,
Culture ya uvivu bila kujijua.

Au tuna shida gani?

Wenye kuelewa atupe mawazo yake tujitathimini

Santeni
Naweza sema Ni upungufu wa wafanyakazi pia Benji inapojengwa haiangalii kuwa Ina wafanyakazi wangapi pia zinatokea dharula Kama vile ugonjwa,ujauzito kujifungua, chakula nk ndo maana unakuta madrisha mengineapo wazi.
 
Back
Top Bottom