Tulitegemea Hilo kwasababu ya Ubunge. Je Huko CCM utashinda Ubunge Bwana Juma? hivi wapemba kule walikupa kura kwasababu wewe ni mbunge wa maana au kwasababu ulikuwa CUF?
Katika sakata lote hili la siku mbili tatu, nimegundua mambo mawili matatu.
La Kwanza: RAISI wetu alikuwa anaumwa kweli na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kama sijakosea imetuficha for which reason i don't know but it was stupid idea. Kwanini nikasema stupid Idea kwasababu imezalisha taharuki na...
Wewe unazungumzia video iliyorekodiwa mtendeni jana ambayo inayoonesha kuwa viongozi wa CUF pale mtendeni kukataliwa kuuziwa chochote? au kuna nyengine uliona zaidi ya hio? maana haijatokea kitu hicho sehemu yoyote zanzibar zaidi ya pale mtendeni jana
Nawatakia kila la kheri katika ofisi yao ya mtendeni ijapo kuwa majirani wote wa ofisi hio ni wanachama wa ACT na tawi liliopo chini yao nalo ni la ACT na usishangae ukakuta barabara nzima ya mtendeni imejaa bendera za ACT
Hakuna ofisi za CUF zilizochukuliwa zanzibar. Cuf wanamiliki ofisi mbili tu zanzibar na bado wanazo na zinapepea bendera kama kawa na wafanyakazi wapo ambao wanafika miezi zaidi ya mitatu hawajalipwa
*
_Anaandika Mh. Othman Masoud, Aliekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar_*
______________________________
*MAALIM, UNA MKATE GAENI*
Leo nimetafuta muda nikasoma kwa kituo taarifa iliyochapishwa hivi karibuni na Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia tasnia ya ubunifu na uvumbuzi linaloitwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.