Recent content by mzee wenger

  1. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania Magufuli, lipa kisasi ikibidi; historia ni mwalimu mzuri, itakulinda

    Malisa mwehu kabisa
  2. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapigwa mabomu ya machozi wakienda kushuhudia mwili wa Alphonce Mawazo hospitali ya Bugando

    Mtoa mada haeleweki, taarifa yako inamapungufu sana
  3. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania Lowassa aendelea kuwaburuza UKAWA. Amkataa Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza), amtaka Ismail Jussa

    Sasa jusa akiukana u cuf wake na kuwa chadema maana yake anakuwa chadema wa kufikilika tu au anakuwa cuf wa kufikilika,, na cuf watakuwA hawana mamlaka nae bali kule aliko chukua kadi ndio watammiliki,,,
  4. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania Wabunge Chiku Abwao, Mhonga watimkia ACT-Wazalendo

    Nakumbuka baada ya chadema kumpokea alie kuwa mwenyekiti wa vijana ccm mkoa wa arusha kama sitokosea miaka miwili au mitatu ilio pita mbowe alisema awatopokea tena MIZOGA kutoka ccm sasa naona mizoga ndio inayo pokelewa kwa maandalizi ya mikutano mikubwa tu #nawaza tu, mizoga ikianza kunuka...
  5. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

    Hakuna fisadi ccm,,
  6. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania TBC kama kawaida washaanza kuonyesha vita ya Kagera

    Naipenda iyo video maaana mwanangu hakuwahi kuiona natumai nae atajifunza kitu ni history nzuri kwa vijana wa sasa kujifunza,
  7. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Slaa Orodha yote ya Mafisadi imekwisha sasa msiyakaribishe CHADEMA

    Ukweli utabaki pale pale, kama lowasa ata gombea chadema basi ccm hakuna MAFISADI ili ndio somo kwetu wananchi wa Tanzania,,
  8. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Mkurugenzi mpya wa (TCRA) Dk. Ally Simba

    Hivi SASA Tanzania wimbi la vijana wa KIUME kuwa na chuki za KIKE limeongezeka #!!!!!!!!!!!!!!!
  9. mzee wenger

    JamiiForums Tanzania Magufuli mgeni rasmi ufunguzi wa Kombe la Kagame

    Hakuna ubaya wowote,,, hajavunja sheria yoyote ya nchi,
Back
Top Bottom