Recent content by Mzee wa Wima

  1. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania external hard drive case Inahitajika

    Mkuu n Ashukuru Sana, ishu ilikuwa ni Data zangu muhimu, nimepata Kuna mdau hapa JF kanipatia,nimefanikiea ila ntakucheck kwa hii external ya gb 160.
  2. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania external hard drive case Inahitajika

    Shukrani Sana
  3. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania external hard drive case Inahitajika

    Nashukuru sana kwa Ushauri wako Mkuu nitafanya hivyo.Ina maana kwa Mtumba siwezi pata?
  4. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania external hard drive case Inahitajika

    Habari wadau, Natumai jumapili imeisha salama, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kwa yeyeyote ambayo anauza au anafahamu naweza kupata wapi Case kwa hd hii anaweza nijuza, mana nimejitahidi kutafuta maeneo ya kkoo bila mafanikio, aliyekuwa nayo na tayari anataka kufanya biashara...
  5. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

    Huyu ndingi alimfanyia umafi wa kutosha mzee Charles Kagonji kwenye Kura za maoni CCM mwaka 2005 na 2010 na alishindwa ila wakubwa ndio waliomtaka kuliko wananchi, Apumzishwe Panapostahili.
  6. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania Makonda is almost so damn right!

    Mkolomije na Mchaga utani wapi na wapi?
  7. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania UVCCM aahaa Nimesikia mkisema Rais ajaye.

    BASHITE ni tatizo nchini! Ila ipo siku.
  8. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania UVCCM aahaa Nimesikia mkisema Rais ajaye.

    BAHITE ni tatizo nchini! Ila ipo siku......
  9. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tumsamehe Makonda kwa kauli za kibaguzi kuhusu Wachaga

    Safi sana, m Safi sana, mimi ni mkatoliki, ila KKKT hawana unafiki kabisa.
  10. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amuombea msamaha RC Makonda Askofu Shoo amuita madhabahuni asamehewe

    Ana KIBURI..ila kitakwisha siku si nyingi!
  11. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tumsamehe Makonda kwa kauli za kibaguzi kuhusu Wachaga

    Acha u boya wewe, Mkolomije na Mchaga wana utani upi, acha hizo wewe, anachostahili BASHITE ndio hicho alichopewa makavu leo.
  12. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Askofu Gwajima siyo Mtuhumiwa bali ni muathirika wa lile tukio

    Mkuu Mambo leo ndio jina gani, weka jina lake basi linalojulikana, unaogopa nini Kamanda.
  13. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mchaga kusaidia walemavu na yatima ni jambo gumu sana

    Ndugu yetu huyu RC anapataje ujasiri kuongea habari za deni la Mengi kwa Kubenea. Mbona mambo ya ajabu hivi.?Yeye alikuwa mdhamini?Yeye aliyeombaomba alikuwa sahihi?
  14. Mzee wa Wima

  15. Mzee wa Wima

    JamiiForums Tanzania Zitto acha uongo na uchochezi. Hii habari ya PAYE siyo sahihi

    Comte, Pole sana nakushauri upitie chuo cha kodi pale maeneo ya mwenge kwa kiasi kidogo uelewe hizi maswala.Pole sana.
Back
Top Bottom