KABLA ya kujadili mada hii, nataka niwe mwadilifu na muwazi kwa kutangaza kuwa nina maslahi katika Chadema. Mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa Chadema, nilijiunga na chama hiki tangu mwaka 1992, nyumbani kwetu wilayani Kahama, mkoa wa Shinyanga.
Nimewahi kukitumikia chama kama kiongozi wa...