Putin alihojiwa na mwandish i mmoja wa habari akaulizwa .
Kwanini hii vita au operashen haikuanza 2014 ? . Akajibu wao urusi walikua bado kumalizia kujiandaa hasa kwenye mifumo ya pesa na silahà kama hypersonic missile .kwa sababu wakifanya hivyo watawekèwa vikwaxo kila aina na kama...
Marekani hajapigana vita afaghastan na irak. Au israel utasema anapigana vita na wapalestina ? Russia ndiyo anapigana vita pale ukrein .piga nikupige . Marekani alipigana vita na vietinam tu .nahakushinda. tokea hapo hajaenda front tena
Hiyo ni baada waziri wa mambo ya nje wa marekani kutembelea israel juzi . Leo anaibuka netayahu nakusema yuko tayari kuwa mpatañish kati ya russia na ukrein. Hapo kamchezo gani kanaendelea.,?
KARIBUNI.
Bado sijaona mafanikìo wanayopata ukrein pamoja na kupewa vifaa vingi vya kivita.urusi imeshasema hio misaada haitabadilisha chochote vitani .maana yake kipondo kiko palepale na maeneo xaidi yanachukuliwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.