Kuna wasiwasi na hicho unachosema kwa kuwa tamimu alifariki mapema sana kabla yake kesi haijaanza kusilikilizwa wakati wa kukamatwaa alipigwa risasi ile ilikuwa ukweli mtupu, wanajeshi watatu wanaojulikana wafanye ugaidi, kesi hii huku ugaidi kule utakatishaji fedha
Kwa mara ya kwanza ameongea jambo la msingi sana mkuu wa mkoa anatembea barabara nzima na kuhatarisha maisha ya watu wakati Naibu Spika anatembea vizuri tuu.
hili lingekuwa la haki kweli kama hata kwenye majimbo ya mawaziri na viongozi wa juu nayo yangefanyika hivi hivi kwa kuwa nao wametoa rushwa sana tena kubwa kubwa lakini hawajakatwa bali wale wanyonge ndio wameonekana wametoa rushwa hii itakuwa tabu katika chama chetu
Mm naona kutakuwa na machafuko makubwa sana katika uchaguzi huu kwa kuwa mtu atangazwa tu bila kushinda ili kuonekana walimshauri vizuri mzee baba, Nikipiga narudi nyumbani
Corona ipo hata sisi hapo kwetu Mbeya jirani yetu kafariki kwa corona akiwa anamuuguza mkewe ambaye alikuwa anaumwa corona akamwambukiza mumewe na ndugu wawili, shida sasa hupokewi hospitalini au unapewa huduma hafifu sana na wanakupa ushauri kuwa ukajitibie nyumbani kama huko kuna wataalamu wa...
Nashuruku kwa kuongezeka kwa mrahaba kwa kuwa hizi kampuni zinatoa taarifaa ya hasara kila mwaka hiyo 16% tutaipata labda mwaka wa mwisho wa kufunga mgodi
Au Brazil ambao nao Rais alikuwa jeuri kuwa hakuna shida sasa watu wote hawataki kumwona hata wa chama chake ila kwa kuwa huku ukisema tu njia sahihi ya kitaalamu unatumbuliwa
Kweli CCM itashinda kwa mchezo huu walioanzisha wa kulazimisha wao kupita bila kupingwa na watu wanapodai haki wanauwawa, Lazima mshinde, vita iko kwenu uwaneni sisi tunasubiri muda muafaka wa kugombea kwa kuwa hata mwaka huu tunaweza tukaacha kama Maalimu alivyofanya Zanzibar.
ile hoja ya trillion 1,5 itafungwa ikiwa inavielelezo vyote na hata ile ya yule mtu aliyehamisha ofisi India ikitumia fedha za umma wakati watu hawana huduma muhimu
October 16, 2019 03:22 PM
NAIROBI / NAIVASHA - Kenya's President Uhuru Kenyatta officially opened on Wednesday the second phase of his flagship infrastructure project: a Chinese-funded and built railway that will eventually link the port of Mombasa to Uganda
The new track is 120 kilometers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.