The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

Ni upuuzi mtupu kudhani eti Kenya hawatajenga SGR

Wenzako wapo busy wanajenga bandari ya LAMU ili iwe source ya mzigo kwa SGR yao wewe unaleta habari eti wamegive up, Sasa watagive up vipi kwani Kenya haihitaji reli?.

Kwani South Sudan hawatahitaji SGR in the future?

Paschal ukiwa unakuja hapa usiwe unatuletea habari zisizo na Kichwa wala miguu, hii ni JF ya Great thinkers siyo hao vilaza unaoshinda nao bar
 
Kongo ana altenative nyingi saba mtoa Kongo kabisa make ana Angola, kuna Gaboni na kuna Cameruni na pia Uganda ana Kenya. Labda Burundi ndo anaye weza kutegemea kwa asilimia 100
hii ni faida kwa Rwanda , kama reli ikiishia kigali dry port yetu itakufa kibudu na kiusalama Rwanda atawaendesha wenzake maana aaminiki congo uganda burundi wote wategemee Rwanda ?
reli iishie isaka itakua faida kwetu mara2 !!
 
Sawa. Nina maswali mawili mkuu
1. Huo mradi unaanza lini?
2. Kwa nini asiunganishe mawe ikifika kigali imalizie kipande cha kigali to Kampala na kigali to Bujumbura. Then baadae tufikirie DRC.
 
Wanabodi,

Huu ni uzi wa kuzungumzia vita ya The SGR, War, kati ya majeshi yayoutwa MAGUFUGAME yaliyoubuka Kidedea, dhidi ya majeshi pinzani ya MUSEVENYATTA ambayo yamepata kipigo hadi kunyanyua Mikono Juu Kuomba Po!, na Kukubali Matokeo!, Rais Magufuli ni Rais Shujaa Muona Mbali, , Baada ya zile Tanchi za Ndege, Apiga Tena Bao la Kisigino kwa Kupiga Tanchi ya SGR!. MUSEVENYATTA, Hoi, MAGUFUGAME Kidedea!, Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

Ili uweze kulifaidi bandiko hili na kujua nazungumzia nini, anzia kwanza kwenye bandiko hili ili kuijua kwanza hiyo vita ya MAGUFUGAME vs MUSEVENYATTA ni vita gani na wanapigania nini?

Kwenye MAGUFUGAME VS MUSEVENYATTA, Hoja zilikuwa ni hizi...
1. Ili SGR ilete faida, reli hiyo has to pass through nchi moja kwenda nchi nyingine.
2. SGR ya Kenya Imeanzia bandari ya Mombasa ilikuwa ipite Uganda.
3. Na SGR ya Uganda ilikuwa itoke Kenya ipite Uganda hadi Rwanda na ilikuwa igharimiwe na Wachina.
4.Baada ya SGR ya Kenya kuanza, kabla hata haijavuka Kenya, huku Tanzania akaingia madarakani Mzee wa Kazi, JPM, na ziara yake ya kwanza ilikuwa ni kwenda Rwanda. Akarudi na a firm commitment ya Kagame kuwa SGR ya Tanzania, ndio itafika Rwanda

5. Uamuzi huu wa MAGUFUGAME, ulipelekea kizungumkuti kambi ya MUSEVENYATTA, hatua ya kwanza ni China kujitoa ku fund SGR ya Kenya, hivyo sasa SGR ya Kenya itaishia, Naivasha, that is the end of the road kwa SGR ya Kenya, hivyo sasa kuwa the biggest white elephant project in Kenya, kujilipa ni miujiza. Leo ndio Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amenyanyua mikono yake juu, na kukubali kupigwa bao na Tanzania, kwa kukubali kuwa sasa SGR ya Kenya itaishia Naivasha hivyo haiwezi kutengeneza faida, wala kujilipa.
6. Hivyo sasa sijui kama Museveni atajenga tena hiyo SGR yake, ikijengwa, itajengwa ili kupeleka wapi mzigo?.

Hitimisho.
Kiukweli kabisa, huu mtindo wa Rais Magufuli kupiga tanchi, sometimes ni mtindo mzuri na kuona mbali, huenda hata hii midege, alio inunua kwa kupiga tanchi; nako ni kuona mbali, mbele ya safari ikaja kuzalisha faida ya ajabu?.

Nani alijua kwanini Magufuli amekwenda Rwanda, akahamisha SGR ya Rwanda kupitia Tanzania. Alipokwenda Uganda, huko nako akapiga tanchi, Bomba la Mafuta la Uganda ambalo lilikuwa lipite Kenya kutumia Bandari ya Mombasa, sasa litapita Chongoleani, Tanga, Tanzania na kutumia Bandari ya Tanga.

Hii SGR ya Tanzania to Rwanda ikikamilika, Bandari ya DSM ndio itakuwa Bandari Kiongozi kwa nchi za Afrika Mashariki, kama SGR ikifika Rwanda, then Mzigo wa Uganda utafika mapema zaidi Uganda ukipitia Bandari ya DSM kuliko ukipitia Bandari ya Mombasa, kwasababu SGR ya Kenya inaishia Naivasha, SGR ya Tanzania inaishia Kigali, ni rahisi zaidi kutoa mzigo Kigali kupeleka Kampala kuliko kutoa Naivasha to Kampala, hivyo uamuzi wa Rais Magufuli kujenga SGR ya Tanzania hadi Kigali, umeipiga bao SGR ya Kenya na SGR ya Uganda. Hongera Magufuli shujaa, uliona mbali.

Paskali.
Rejea
P unakosea sana kupotosha. Mi nasema JPM ana bahati tu na si kitu kingine. Pia jiografia ya TZ inambeba kwenye mambo mengi. Bomba la mafuta ni wenyewe TOTAL ndio waliamua kupitisha bomba la mafuta TZ. kwa vigezo vya alshababi kenya, bandari ya tanga inazuiwa na mawimbi makubwa na visiwa vya znz, ardhi ya TZ ni ya serikali kwa hiyo ni rahis kuipata kupitisha bomba. Haya tuambie kuna tanji gani iliopogwa hapo.

Swala la SGR TZ ilikuwa ni lazima ienda kwa kagame sababu Uganda na Kenya tayari walikuwa washaongea, hapa hata wew ungeenda kwa kagame. Na kama ni tanji wamepiga wachina na si mkuu wetu. Wachina ndio wanafund huu mradi wakiamua hata leo kuendelea mambo yanakuwa sawa, au wakiamua kenya kumaliza wenyewe pia mambo yatakuwa sawa-its just a matter of time. Delay ina any project is something normal just like what is now happening in TZ-UG pipeline. Mimi napenda mambo anayofanya JPM na I fully support him lakini sio hivi unavyosifia P. The good thing about our president is that he make things happen.
 
October 16, 2019 03:22 PM
1571324740464.png

NAIROBI / NAIVASHA - Kenya's President Uhuru Kenyatta officially opened on Wednesday the second phase of his flagship infrastructure project: a Chinese-funded and built railway that will eventually link the port of Mombasa to Uganda
The new track is 120 kilometers (75 miles) long and has 12 stations. Passengers can ride the trains, but the railway is mainly for cargo. The track will eventually lead to an inland container depot, from where containers will be distributed to Uganda and Rwanda, and to South Sudan.
The loans are with Chinese banks. Wu Peng is the Chinese ambassador to Kenya. He said in return China is not only lending but also investing in Kenya with the coming of the railway
"We encourage Chinese enterprises to invest in the Naivasha ICD and the special economic zones,” Peng said.

Kuna watu waninyaaa
 
Daah ni wewe Pasco au uko baa mida hii mkuu? Umeandika kishabiki na kivigeregere zaidi bila kueleza ama kuchambua kwa fact, mengi uliyoandika ni dhahania tu kwamba "mradi huu ama ule ukikamilika tutakuwa tumepiga bao", Hii kwa mchambuzi mzoefu kama Pasco hukutakiwa kufanya huvyo mkuu.

Hivi tunavyozungumza SGR hata Morogoro haijafika, kisha unajadili na kutoa hitimisho SGR kufika Kigali???

Kenya wamezindua mradi wa pili wa SGR wako vitani na wanapigana kwa umakini bila miruzi mingi na makelele kama nyie huu Bongo
You are, a lost course.
 
Wanabodi,

Huu ni uzi wa kuzungumzia vita ya The SGR, War, kati ya majeshi yayoutwa MAGUFUGAME yaliyoubuka Kidedea, dhidi ya majeshi pinzani ya MUSEVENYATTA ambayo yamepata kipigo hadi kunyanyua Mikono Juu Kuomba Po!, na Kukubali Matokeo!, Rais Magufuli ni Rais Shujaa Muona Mbali, , Baada ya zile Tanchi za Ndege, Apiga Tena Bao la Kisigino kwa Kupiga Tanchi ya SGR!. MUSEVENYATTA, Hoi, MAGUFUGAME Kidedea!, Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

Ili uweze kulifaidi bandiko hili na kujua nazungumzia nini, anzia kwanza kwenye bandiko hili ili kuijua kwanza hiyo vita ya MAGUFUGAME vs MUSEVENYATTA ni vita gani na wanapigania nini?

Kwenye MAGUFUGAME VS MUSEVENYATTA, Hoja zilikuwa ni hizi...
1. Ili SGR ilete faida, reli hiyo has to pass through nchi moja kwenda nchi nyingine.
2. SGR ya Kenya Imeanzia bandari ya Mombasa ilikuwa ipite Uganda.
3. Na SGR ya Uganda ilikuwa itoke Kenya ipite Uganda hadi Rwanda na ilikuwa igharimiwe na Wachina.
4.Baada ya SGR ya Kenya kuanza, kabla hata haijavuka Kenya, huku Tanzania akaingia madarakani Mzee wa Kazi, JPM, na ziara yake ya kwanza ilikuwa ni kwenda Rwanda. Akarudi na a firm commitment ya Kagame kuwa SGR ya Tanzania, ndio itafika Rwanda

5. Uamuzi huu wa MAGUFUGAME, ulipelekea kizungumkuti kambi ya MUSEVENYATTA, hatua ya kwanza ni China kujitoa ku fund SGR ya Kenya, hivyo sasa SGR ya Kenya itaishia, Naivasha, that is the end of the road kwa SGR ya Kenya, hivyo sasa kuwa the biggest white elephant project in Kenya, kujilipa ni miujiza. Leo ndio Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amenyanyua mikono yake juu, na kukubali kupigwa bao na Tanzania, kwa kukubali kuwa sasa SGR ya Kenya itaishia Naivasha hivyo haiwezi kutengeneza faida, wala kujilipa.
6. Hivyo sasa sijui kama Museveni atajenga tena hiyo SGR yake, ikijengwa, itajengwa ili kupeleka wapi mzigo?.

Hitimisho.
Kiukweli kabisa, huu mtindo wa Rais Magufuli kupiga tanchi, sometimes ni mtindo mzuri na kuona mbali, huenda hata hii midege, alio inunua kwa kupiga tanchi; nako ni kuona mbali, mbele ya safari ikaja kuzalisha faida ya ajabu?.

Nani alijua kwanini Magufuli amekwenda Rwanda, akahamisha SGR ya Rwanda kupitia Tanzania. Alipokwenda Uganda, huko nako akapiga tanchi, Bomba la Mafuta la Uganda ambalo lilikuwa lipite Kenya kutumia Bandari ya Mombasa, sasa litapita Chongoleani, Tanga, Tanzania na kutumia Bandari ya Tanga.

Hii SGR ya Tanzania to Rwanda ikikamilika, Bandari ya DSM ndio itakuwa Bandari Kiongozi kwa nchi za Afrika Mashariki, kama SGR ikifika Rwanda, then Mzigo wa Uganda utafika mapema zaidi Uganda ukipitia Bandari ya DSM kuliko ukipitia Bandari ya Mombasa, kwasababu SGR ya Kenya inaishia Naivasha, SGR ya Tanzania inaishia Kigali, ni rahisi zaidi kutoa mzigo Kigali kupeleka Kampala kuliko kutoa Naivasha to Kampala, hivyo uamuzi wa Rais Magufuli kujenga SGR ya Tanzania hadi Kigali, umeipiga bao SGR ya Kenya na SGR ya Uganda. Hongera Magufuli shujaa, uliona mbali.

Paskali.
Rejea
Paskali,

images.jpg
 
Based on my intellectual capacity and my vast knowledge ,tactically and tentatively ,right from the beginning of times especially in the light of Ecclesiastes evolution I have come to a concrete,definite and profound conclusion that I actually have nothing to say ,thankyou.
Bukoba oyee!
 
Daah ni wewe Pasco au uko baa mida hii mkuu? Umeandika kishabiki na kivigeregere zaidi bila kueleza ama kuchambua kwa fact, mengi uliyoandika ni dhahania tu kwamba "mradi huu ama ule ukikamilika tutakuwa tumepiga bao", Hii kwa mchambuzi mzoefu kama Pasco hukutakiwa kufanya huvyo mkuu.

Hivi tunavyozungumza SGR hata Morogoro haijafika, kisha unajadili na kutoa hitimisho SGR kufika Kigali???

Kenya wamezindua mradi wa pili wa SGR wako vitani na wanapigana kwa umakini bila miruzi mingi na makelele kama nyie huu Bongo
Sijawahi kuamini kama Paschal ni mchambuzi wa habari
 
P unakosea sana kupotosha. Mi nasema JPM ana bahati tu na si kitu kingine. Pia jiografia ya TZ inambeba kwenye mambo mengi. Bomba la mafuta ni wenyewe TOTAL ndio waliamua kupitisha bomba la mafuta TZ. kwa vigezo vya alshababi kenya, bandari ya tanga inazuiwa na mawimbi makubwa na visiwa vya znz, ardhi ya TZ ni ya serikali kwa hiyo ni rahis kuipata kupitisha bomba. Haya tuambie kuna tanji gani iliopogwa hapo.

Swala la SGR TZ ilikuwa ni lazima ienda kwa kagame sababu Uganda na Kenya tayari walikuwa washaongea, hapa hata wew ungeenda kwa kagame. Na kama ni tanji wamepiga wachina na si mkuu wetu. Wachina ndio wanafund huu mradi wakiamua hata leo kuendelea mambo yanakuwa sawa, au wakiamua kenya kumaliza wenyewe pia mambo yatakuwa sawa-its just a matter of time. Delay ina any project is something normal just like what is now happening in TZ-UG pipeline. Mimi napenda mambo anayofanya JPM na I fully support him lakini sio hivi unavyosifia P. The good thing about our president is that he make things happen.

JPM ana uthubutu na haogopi kueleza au kufanya anachofikiri. Hana mpango wa kujipendekeza kwa mtu, ndio maana anakwenda.
Hakuna bahati. Bahati alikuwa nayo JK ila akatuangusha sana. Kuwabeba wanamtandao wasiobebeka ilitupa mzigo mkubwa wenye mawazo kibao
 
Back
Top Bottom