Recent content by mzee wa mazabe

  1. mzee wa mazabe

    Na huu ndio ukokotozi wa bei ya mafuta ya petroli kwa lita 1

    Maisha yametamalaki tayari,lakini namuaminia sana Mama atarekebisha hili bado hajaelewa watu wanampigia wapi.
  2. mzee wa mazabe

    Serikali idhibiti uuzwaji holela wa Barakoa nje ya Hospitali

    Serikali lazima ichukie hatua mapema maana uenda tukawa tunapeleka Covid ndani ya hospitali bila kujua
  3. mzee wa mazabe

    Serikali idhibiti uuzwaji holela wa Barakoa nje ya Hospitali

    Balaaah kabisa ikifika hapo,yaani Wizara ya Afya sijui hawaoni haya maajabu😁😁
  4. mzee wa mazabe

    Serikali idhibiti uuzwaji holela wa Barakoa nje ya Hospitali

    Kwahiyo tununue zile za getini Hospitali kama walizifua usiku wakazianika kisha wakazipiga pasi wakatuletea kutuuzia getini unaona itakuwa sawa mkuu???
  5. mzee wa mazabe

    Serikali idhibiti uuzwaji holela wa Barakoa nje ya Hospitali

    Mimi nikivaaga nahisi kama kuna tuvitu vitu vinaingia kwenye pua kwahiyo inaniradhimi nifunike mdomo niache pua wazi😁😁
  6. mzee wa mazabe

    Serikali idhibiti uuzwaji holela wa Barakoa nje ya Hospitali

    Aisee Serikali waingilie hili mara moja tutakuwa tunatafuta mchawi bila kujua kumbe mzigo unakuwa upo getini tunauamishia ndani hospitali, Waziri wa Afya tafadhali tunaomba majibu ya jambo hili mara moja au mtuambie wanazipata wapi hawa watu wanaouza hizi barakoa nje ya Hospitali
  7. mzee wa mazabe

    Serikali idhibiti uuzwaji holela wa Barakoa nje ya Hospitali

    Nimepita pale KCMC barakoa zinauzwa kama nyanya pale getini, nimepita Benjamini Mkapa napo hivyo hivyo na sijajua kama na Mwanza pale Bugando hali ipo hivyo, hivi leo hii Serikali inafumbia macho wauza barakoa nje ya Hospitali halafu mnatafuta mitungi ya gesi, hivi mnajua ubora wa hizo barakoa...
  8. mzee wa mazabe

    Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa

    Hakuna cha kujitafakali maana ukiona Askofu anasalisha huyo mtu ni level yake,jitaidi na wewe kabla hujafa ufanye jambo ambalo Taifa litaguswa nalo,wewe ukae tu mashambani uko kisha unataka ukifa Askofu aje kukuzika.
  9. mzee wa mazabe

    Nauona mwisho wa CCM

    CCM haifi ndg kama ungekuwa na akili kidogo tu mwaka 1995 wakati Mhe. Mrema alivyohama ungeweza kujua CCM inakufa
  10. mzee wa mazabe

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Unata kuuza ramani ya vita?lazima upigwe tu:D:D
  11. mzee wa mazabe

    Rais Magufuli anaamini wingi wa watu unamaanisha “economic growth”, mimi nakataa

    Usikimbilie kusema washauri wanampotosha,jaribu kujiuliza ametumia variables zipi na tools gani kumpa hypothesis yake kuwa Null,pengine ametumia Stata,SPSS,SAS au data zake ametumia time series au panel data ndiyo uje na conclusion yako.
  12. mzee wa mazabe

    Tetesi: Jamatini Dodoma na kituo cha Daladala

    Hapo saba saba nilifika yaani nikashangaa sana kama kuna watu wapo ofisini wanazunguka zunguka na viti wakisema pale ndiyo stand ya daladala,Mhe Rais Daktari John Pombe Mgufuri anajitaidi sana kwenye maendeleo ya wananchi lakini nadhani wasaidizi wake awamuelewi anataka Tanzania ya aina...
Back
Top Bottom