Kwa maoni yangu mimi kama lengo la Taifa letu ni kujenga Taifa lenye mfumo wa chama kimoja kinachofanyika sasa hivi ni sawa kama lengo ni lile liloandikwa kwenye katiba kwamba Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi na kwamba lengo la Taifa ni kuiimalisha mfumo huu kinachofanyika si sawa kwa...
Tusichanganye vitu viwili kuwa na akili(interegent) na kuwa na elimu (educated) mtu anaweza akawa na elimu lakini hasiwe (intelligent) au hasiwe huru katika kuelezea ukweli kwa sababu za kulinda maslai yake tunawaashuhudia wengi tu katika kipindi hiki
Waziri kama kweli yeye ni mwalimu wa sheria atuambie ni sheria ipi ya nchi inakataza mwanamziki hasiimbe nyimbo zinazousu siasa au ligha raisi zinazousu mambo yanayotokea jamii atuambie ni sheria ipi inakataza hasitutishe na shahada nne tunashuhudia watu wenye shahada kama hizo wengi wakishindwa...
Kimsingi viongozi wetu hawako committed na ujenzi wa demokrasia katika nchi hii kwahiyo wako tayari kufanya lolote lile kuakikisha wanabaki madarakani na kuminya wale wenye mawazo mdadala mimi nafikili kwa hulka yetu sisi waafrika mfumo huu hautufai tumeingia kwa presha tu ya wakubwa mfumo wa...
Njia pekee ya kufanya mambo yawe sawa ni kufanya harakati kuondoa kipengele cha katiba kinachozuia kushtakiwa raisi tujifunze kilichotakiwa brazil hii itafanya viongozi wetu kurshimu katiba na sheria hatuna njia nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.