Naomba kuuliza hivi hawa wambunge kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wapo??
Barabara ni mbovu sijawahi kuona toka mwaka 2021 mpaka sasa hakuna kipindi kina barabara mbovu kama miaka hii mitano aiseeeeeee. Yaaaani barabara ya lamadi kwenda bariadi inajengwa toka wakati wa mwenda zake mpaka leo 😭😭ni...
Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM,
Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme.
Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni...
Jamaa ulikuja hapa kutetea kuwa mpaka December barabara hiyo itakuwa imekamilika vipi tunaingia
ndugu yetu vipi tunaende mwezi September je kuna kipande chochote cha lami kimewekwa mpaka leo?? Au tusubiri kampeni zianze? Au tusiulize sana 😂😂😂😂
Mtu kalipia zaidi ya miezi 2 huu unaenda wa tatu ila hakuna huduma, majibu mnayonipa ni ya hovyo huduma kwa wateja ni ya ovyo umeme kufungiwa nyumbani kwake mpaka anyooshe mkono au?
Kuna watu wameomba na kulipia mbele yangu wamefungiwa tayari mimi bado.
Ukiuliza wanakwambia tunasubiri vifaa...
Madaraja ya wapi hayo? Sisi ndio watumiaji wa barabara hii kibada mwasonga mpaka tundwi kila siku tunapita hapa hebu waambie watanzania daraja gani linajengwa mwaka mzima??
Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara hii ya kibada Mwasonga.
Tunasikitika kuwa sasa tunakaribia mwaka toka ahadi hiyo hakuna jipya zaidi...
Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi huko.
Mbali ya kuwa Wananchi wamejichanga na kutafuta vifusi ila mkandarasi wa Barabara ya Kibada -...
Wakazi wa Kisarawe II,
Mtaa wa kichangani kwani tumeikosea nini serikali?
Tumejichanga na kupata kiasi cha fedha ili kutengeneza barabara yetu ya mtaa Ila serikali ni kama haioni vile.
Tumeomba kifusi kutoka kwa mkandarasi anayejenga barabara ya Kibada Mwasonga nacho tumenyimwa lengo ni mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.