Recent content by Mzee Tola

  1. Mzee Tola

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

    Mh sidhani kama wameshatoa majibu nadhani tusubr pengine baada ya wiki mbili
  2. Mzee Tola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii ni wapi kiongozi
  3. Mzee Tola

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

    Mkuu km alivyosema 👆👆👆
  4. Mzee Tola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Masters of denial
  5. Mzee Tola

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

    Ndo tunasubiri waje mana wamesusa
  6. Mzee Tola

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

    Mods naomba muongeze apo kwny heading isomeke msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya relationship officer-bank
  7. Mzee Tola

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

    Habari zenu wana jamvi, jamani naombeni kusaidiwa maswali yanayotoka kwenye mtihani wa written interview katika kada ya Relationship Officer tafadhali. Nawakaribisha wanajamii wenzangu tupeane uzoefu hapa kwenye hii thread karibuni sana.
  8. Mzee Tola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hv kwnn Tz isiwe na pesa yake ikaachana na hyo sh. mfano inaweza ikabadili na kuiita dafu na ikawa na alama yake mfano [emoji822] ile ya gamma tufike maala wa Afrika tuondokane na huu ukoloni mamboleo
  9. Mzee Tola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Safi kumbe ni market nilizani ni kambi ya wakimbizi hongereni sana jirani
  10. Mzee Tola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii haitakuwa km ndoto za lile daraja la dar-zenji kweli?
Back
Top Bottom