Recent content by Mzee Singano

  1. M

    Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

    Sijawahi kujuta tangu nianze kununua hisa na kwa sasa nime nunua za kutosha kwa kuwa ndio biashara ninayoiweza naamini hao walio kushauri uachane nazo hawazijui. Lakini kama ukiwa na WASI WASI kwa kuwa zikiingia sokoni mwezi ujao tar 16 bei ilivyo panda utaiona kupitia simu yako ya kiganjani...
  2. M

    Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

    Nadhani kupitia Usajili huo huo wanaweza kukutumia Fomu ukajaza. Njia zote ni sawa angalia utakayo weza na rahisi kwako
  3. M

    Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

    CDS ni akaunti ambayo kwa kirefu ni "Central Depository System" Ni akaunti ya Usajili ili utambulike kama Mnunuzi Unaifungua kwenye mtandao na hakuna gharama kuifungua Breaker wapo zaidi ya kumi wengi wapo. Mtaa wa Samora Dar Es Salaam ila yupo wa Serikali anaitwa TIB Investiment kampuni dada...
  4. M

    Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

    Salaam, huyo alikudanganya kama hadi leo huja nunua jitahidi ununue. Ni biashara nzuri mimi ndio biashara ninayo fanya. Ukihitaji Fomu naweza kukutumia ukijaza una scan kitambulisho tunatuma kwa wakala wa Serikali TIB INVESTIMENT kisha una weka fedha Benki inayogawanyika kwa 850 (nyingi kwa...
  5. M

    Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

    Hisa Hisa za voda hazijaingia sokoni zitaingia mwezi wa tano tar 16 usiangalie hizo BIL 32 watu wamepeleka fedha zao Voda BIL 476.
  6. M

    Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

    Jitose huu ndio wakati wa kununua nenda kwa Mawakala wote wanakiri mwamko wa ununuzi ni mkubwa Nina hakika mwezi wa tano zikiingia sokoni kama sikosei tar 16 zitapanda mara mbili au zaidi. Kama umenunua za 8,500,000/= utapata 17,000,000/=. Hautajuta ukinunua hisa za awali (IPO). Barikiwa
  7. M

    Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

    Soko la Hisa kushuka si jambo la kushangaza kwa sasa watu wengi wana nunua bidhaa iliyopo Nje ya soko (hisa za voda) hivyo zilizopo sokoni watu hawa nunui. Kilichofanyika kati ya mwezi wa 11&12 hadi wa mwezi wa kwanza watu wengi wenye mitaji midogo waliuza Hisa zao ili wapate fedha za kununua...
  8. M

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Nape yupo live AZAM wamemkataza kufanyia press CONF ndani ya Hotel ve
  9. M

    Madalali bora katika soko la hisa

    Kwanza hao Rasilimali LTD ni kampuni dada ya Benki ya Rasilimali ambayo ni ya Serikali hivyo kufilisika si rahisi na kinachofanyika wao ni wakala wa kuuza na kununua Hisa mbalimbali na wakati wa kuuza hukata asilimia mbili kwa ajili ya kuendesha ofisi hivyo kwa wao kufilisika si rahisi kwa kuwa...
  10. M

    Madalali bora katika soko la hisa

    Nakushauri uende kwa RASILIMALI LTD wapo mkabala na Benki ya Mkombozi Jengo la Samora Tower ghorofa ya 7. Hao kwa maoni yangu watakufaa. Unaweza kuwasiliana nao na ukanunua On line. Barikiwa
  11. M

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Biashara ni kokote ila kwa mwaka huu biashara za Hisa za kampuni za simu zitafanya vizuri. Njia ya mtandao ita kusaidia kununua na kuuza. Barikiwa
  12. M

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    KOKOTO ulipo pana faa ila jielekeze kwenye Biashara ya hisa za Vodacom kwa mwaka huu ndio habari ya mjini
Back
Top Bottom