Habari zenu,
Naomba kuuliza kuna yoyote anayeuza mini bike au anayejua wanapouza hizo mini bike.
Nataraji majibu kutoka kwenu ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu zangu,
Naomba mnisaidiye nataka kuanza kufuga kuku wa kisasa ila sina elimu nao.
Naombeni mwenye ujuzi anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndungu zangu,
Naomba mnisaidie nina laini zangu za uwakala lakini sio kwa jina langu, je inawezekana nikapiga fingerprint na kuepuka kufungiwa?
Naombeni msaada wenu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.