Recent content by MZEE RAZA

  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Askari wa JKT tulioishia Darasa la 7 hatujalipwa stahiki zetu na TPA tangu tulipoachishwa kazi Mwaka 2018

    Sasa kwanini ulikimbia shule ndugu yangu?? Ungefika walau kidato cha nne haya yasingekukuta.
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    Umeambiwa kwa ufafanuzi zaidi ufike Ofisi ya Mipango na fedha. Hapa ulipokuja unahisi ndo Ofisi husika?
  3. M

    JamiiForums Tanzania UMMY MWALIMU umekosea barua yako ilitakiwa ielekezwe kwa katibu mkuu CCM ni mamlaka kinidhamu na mdhaminini wako siyo kwenye mitandao ya kijamii

    Amepost wapi hiyo barua? Hebu iweke tuione. Mbona kwenye ukurasa wake Instagram amepost shukurani tu tena kwa unyenyekevu mkubwa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa Umoja wao waidharau Tume ya Uchaguzi, Waamua kutopiga Kura

    Usitujumuishe wote! Mimi nitapiga na nitamchagua Dr Samia
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

    Upo sahihi kabisa. Oktoba tunatiki kama kawaida. Mbona uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 hakuyasema haya huyu mpuuzi??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

    Polepole ni wakupuuzwa tu hana jipya. Anasema mwaka huu uchaguzi hautokuwa wa haki, kwani mwaka 2020 ulikuwa wa haki? Mbona hakupayuka kipindi kile??
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    Kwanini unakojoa kabla mwenzako hajafika kileleni? huo ni uzembe kijana
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

    Ndoto za mchana hizi! amka kabla hujajikojolea!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

    Wakizifunga hizo shule na hospitali na wao pia watapa hasara kwani hivyo ni vitega uchumi vinaingiza fedha kwao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hali Tete: CCM watuma vijana Mitandaoni hasa X, Tiktok, Facebook na Instagram. Wawapa bundles kutuma jumbe kuonesha Samia na CCM wanaungwa mkono

    Watanzania gani walosema no reform no election?? Ni CHADEMA, sio watanzania wote. Mimi nitapiga kura na nasema Samia mitano tena. Hutaki hamia Burundi
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

    Endelea kuloga ndugu, Utakufa wewe na utamwacha Rais Samia akitawala hadi 2030
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

    Ukombozi gani unaouzungumzia ndugu? nchi ilishakombolewa na Mwl Nyerere hii. Samia mitano tena! hutaki hamia Kongo
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama wife katosheka wakati wa tendo?

    Una umri gani?? Akimwaga kojo ni lazima atapitiwa na usingizi wa ghafla na dalili nyingine kibao ambazo watu wazima tunazijua
  14. M

    JamiiForums Tanzania Moshi Mweupe Wafuka Juu Ya Bendera Ya Tanzania Geneva Uswisi. Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea

    Tanzania oyeeee! Rais Samia oyeeee! Prof. Dr. Janabi oyeeee! Mitano tena kwa Rais Samia. Hutaki hamia Kongo
Back
Top Bottom