Recent content by MZee Ndago

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini vita ya Urusi na Ukraine sio kali sana ila waliokufa ni wengi kuliko ya Israel na Hamas?

    Ww akili huna inabidi ukapimwe. Urusi Ina watu zaidi 300m Palestine 3m ukilinganisha ktk asilimia wapi wamekufa wengi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Hatima yao nikuacha kula mchana tu walale
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

    50000
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

    Hadi mkome mtandikwe tu mnafanya kusudi mtegemee huruma hiyo hakuna.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

    Mnastahili kutandikwa Tena muhamishwe kbs. Mnamua afisa bila sababu. Ongera jwtz chakazeni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

    Jeshi safiiiiiii sn hivi mnamua mtu nyinyi mnaona amchukui hatua. Jeshi msafishe wahuni wote wadakwe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

    Nipo na Palestine hadi mwisho kwn niwajinga tu watakuwa upande wa Israel. Miaka yote uonevu tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Miji miwili ya Urusi yapigwa mabomu ya drones na Ukraine

    Kwangu ni habari njema Urusi akalishwe kikamilifu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua utendaji kazi wa Ndege za vita F16 atujuze

    Azitumii mafuta zinatumia maji ya mvua zinaporuka Lita Moja km 1234. Nindege hatari zinabeba mabomu tani 54 napia azionekani Kwa macho wala rada Bali kwenye ndito tu. Hizi ndege mrusi kwisha habari yake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema makao makuu ya Black sea fleet yashambuliwa

    Ww ndio uweke
  11. M

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema makao makuu ya Black sea fleet yashambuliwa

    Safiiiiiii sn Ukraine lzm Urusi akalishwe. stom shadow inayofuata nikichwani mwa Putin
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

    North Korea na Russia nani yupo juu? Ukraine tu anawaweza.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

    Ukraine ndio mwamba usimfananishe na North Korea au Urusi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine wakomboa vinu vya mafuta na gesi, Boyko Towers. Warusi wakimbia mapambano na kuvitelekeza

    Nipo Ukraine Urusi no. Putin kwisha habari yake yatamkuta ya Gadaff na Saddam.
Back
Top Bottom