Recent content by Mzee Mwanakijiji

  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

    Hawa watu wamekuwa kama miungu fulani hivi...
  2. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!

    "Mahitaji kidogo" si yangewafanya CCM kutumia ibara ya 100 kama walivyofanya zamani? Yaani, tulete Katiba mpya kwa ajili ya "mahitaji kidogo"?
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!

    Kama wanajifanya wapinzani kwanini asumbuke nao? Maridhiano kwani amewakosea nini?
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!

    Kwani Katiba hii ina matatizo gani? Ibara ya 100 inawapa CCM uwezo wote wa kuifanyia mabadiliko wanayoona yanafaa.
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!

    Nimecheka halafu nikanuna..nikacheka tena. Mwenyewe nilijiambia hii ni AI!!
  6. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!

    Na. M. M. Mwanakijiji Tunajaribu kuaminishwa kuwa tunahitaji maridhiano. Kwamba, tumekosana kiasi kwamba ili tuweze kupatana ni lazima tukae chini na kukubaliana kupatana. Manabii uchwara wa maridhiano wanataka taifa zima lipige magoti na kuanza kufukiza ubani kwenye madhabahu waliyoitengeneza...
  7. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Acheni taharuki , Emmanuel Nchimbi yu hai, mnataka aongee hadharani kama nani na kwa manufaa ya nani?

    Acha ufyatu ..na huyo "mhaini" mwingine anayezungumza kila siku hadharani huko mahakamani??
  8. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

    Kama mahakama yenyewe haijioneshi kuwa huru si kosa la Lissu kuonesha kuwa mahakama zetu si huru tena.
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

    Waache ufyatu!!
  10. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Hivi bado hajatokea popote huko?
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Tunalazimishwa kukubali mambo ya hatari sana...
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania CCM Inafikirisha sana wakati huu

    Mwalimu, hawa jamaa wanapotaka watu wajipange mstari wanataka wajipange kwelikweli. Na hakuna alive salama..mimi sideline kushangaa hata Rais mwenyewe hayuko huru...akileta za kuleta....
  13. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Ndio maana ya kuwa na haki ya maoni.
  14. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Tafuta mada zangu za wakatibwa Magufuli uone kama nilikausha. Labda hukumbuki ilikuwaje baadhi yetu tuliona bora JPM kuliko yule mwingine.
Back
Top Bottom