Recent content by Mzee Msemakweli

  1. Mzee Msemakweli

    Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Binafsi sijaridhishwa na mwenendo wa Mahakama zetu na jinsi walivyoweza kuendesha hii kesi. Kuna Watanzania wengi sana wameua bila kukusudia lakini wamekaa ndani kwa miaka mingi sana bila kupewa dhamana wala kesi zao kuendeshwa kwa haraka kama ilivyofanyika kwa Lulu binti anayeonekana anao...
  2. Mzee Msemakweli

    Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Kila zama na kila falme zina miujiza yake. Hatuwezi kukwepa hii miujiza ya ufalme huu ni wakati wake lazima tuipokee tu kama inavyokuja kwetu.
  3. Mzee Msemakweli

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  4. Mzee Msemakweli

    Sasa ni wakati Muafaka wa Kumkamata Edward Lowassa

    Mambo ni mambo kwa kweli
  5. Mzee Msemakweli

    Ni bora Makonda amekimbia mapema, angesombwa na kimbunga cha bunge la bajeti

    Mwisho wa maneno haya ni kuweka vyeti mezani basi
  6. Mzee Msemakweli

    Makete kuangukia mikononi mwa CHADEMA

    Nimeamua kuiweka CV yake ili na huyo mleta mada asome aone alichokisema kama kinafanana na ukweli ulivyo
  7. Mzee Msemakweli

    Makete kuangukia mikononi mwa CHADEMA

    WASIFU WA MTANGAZA NIA MAELEZO BINAFSI Jina: Ahadi Asajile Mtweve Kuzaliwa: 29/09/1981 Mahali Pa Kuzaliwa: Mahanji - Matamba, Makete Hali ya Ndoa: Nimeoa na nina watoto wawili Kujiunga na Chama: 11/4/2007 Simu ya mkononi: 0764660220, 0715365850 Email: amtweveone@gmail.com...
  8. Mzee Msemakweli

    Makete kuangukia mikononi mwa CHADEMA

    Habari hizi si za kweli nadhani mreta mada ameamua kumpigia debe Ahadi Mtweve. Hakuna chombo cha habari kinachomzungumzia hata kimoja na wala si facebook wala WhatsApp wanaomwongelea. Mimi binafsi ni mwenyeji wa Wilaya ya Makete na vile vile nipo kwenye mitandao karibu yote ya watu wenye...
  9. Mzee Msemakweli

    ACT-Tanzania: Hodi mbunge wa jimbo la Ubungo

    Duh! Chama Kingine cha KIDINI. Bendera NYOTA na MWEZI. Viongozi wote FATMA, ZAINABU, MOHAMED, JUMA. Kazi ipo mwaka huu nahisi tutakuwa na miaka mingine kumi ya kuongozwa kidini. Mashirika yote ya Serikali tutajenga Misikiti na wafanyakazi wote lazima wavae kanzu na hijabu. ISLAM AT WORK
  10. Mzee Msemakweli

    Rais alikosea katika kupanga na kuteua wajumbe wa bunge la katiba

    Dhambi ya UDINI inamwandama sana JMK. Tanzania imeshatumbukia kwenye kilindi cha DINI YANGU KWANZA MENGINE BAADAE
  11. Mzee Msemakweli

    Kenya Airways wamenunua Dreamliner sita, sisi tunakodi ka ndege ka kwenda mikoani kwa mbwembwe...

    Watanzania tumetokana na uzao wa laana ndo maana mambo yetu hayaeleweki kabisa
Back
Top Bottom