Recent content by Mzee Mapenzi

  1. Mzee Mapenzi

    Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kuwaua watu wawili kwa kukusudia

    Hili jamaa limepata kilichostahili. Hawa jamaa wote walikuwa matapeli wazuri. Na mara nyingi waliwatapeli wageni kutoka nje. Siku hiyo walikuwa wamepiga dili kama USD 70k, kwenye mgao walikwepana kiswahili. Juma4 alitaka pesa nyingi kuliko wenzake, mzozo ulianzia hapo. Na hii Habar naona...
  2. Mzee Mapenzi

    Uganda imefuta mitihani ya sekondary

    Fuatilia elimu ya Finland, India na Taiwan. Hata hapo Kenya nadhani, japo sina hakika. Kipimo cha elimu hakipimwi kwa mtihani kuimpact skills ni jambo muhimu kwa watu wote. Kuliko karatasi unayikalili bila kuelewa ilimradi tu, ujibu mtihani.
  3. Mzee Mapenzi

    Tanzania ni kitovu kwa Afrika

    Aliyekupa simu uchezee anastahili bakora
  4. Mzee Mapenzi

    Nikimuwaza Ben Saanane napata mshtuko

    Ben anamtesa Kigogo wa twitter. Nadhani anamuota kila siku
  5. Mzee Mapenzi

    Je ni kweli Idd Amin alikuwa anawauwa watu anaowachukia na kuweka vichwa vyao katika jokofu ili awe anavikebehi?

    Vitani ilikuwa ni lazima! Kuingia Kagera na kuteka raia, kisha kuwaua huku akitangaza mkoa wake, ilitosha kumsulubu. Hayo ya kuweka vichwa vya watu walisema wenyewe waganda, hatuwezi kuyaingilia, maana wao ndo walimfahamu baada ya kufanya mapinduzi. Ila kupigwa ilikuwa lazima apigwe. Kagera ni...
  6. Mzee Mapenzi

    Shame on United States of America

    Aliyekupa simu uchezee anastahili bakora.
  7. Mzee Mapenzi

    Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    Mabeberu mnaowapigia magoti wawapande kisa mkopo, au mabeberu gani unayomaanisha. Umesikia maccm yalivyokwapua hela za Epassport? Maccm yameiba Tr 1 dili fake....
  8. Mzee Mapenzi

    Wanyonge wameungana na mabeberu wamewasikiliza

    Nyumbani kwako ujauzito wa mkeo na mtoto wako mchanga, kumeathiri vipi familia yako, hasa watoto wako ambao wanaenda shule wanarudi nyumbani kuna mzazi/mjamzito?
  9. Mzee Mapenzi

    Wanyonge wameungana na mabeberu wamewasikiliza

    Mpumbavu ni wewe ambae umeshindwa kujua kuna asilimia tano za watu kama wewe, badala yake unataka ujiweke kwenye asilimia 90 ili nionakane kama wewe.
  10. Mzee Mapenzi

    Wanyonge wameungana na mabeberu wamewasikiliza

    Sawa mnyonge! Endelea kuwa mnyonge tu.
  11. Mzee Mapenzi

    Wanyonge wameungana na mabeberu wamewasikiliza

    Kama taifa tuko hapa kwa sababu sisi ni wajanja kupitiliza na wale werevu hawatakiwi kwenye jopo la wanjanja waliopitiliza na ambao ndiyo wamekalia keki. Tutabaki masikini daima.
  12. Mzee Mapenzi

    Wanyonge wameungana na mabeberu wamewasikiliza

    Bahati mbaya sana umekuwa mjinga zaidi yangu. Umeshindwa kutumia akili ndogo tu, kujua upo kwenye asilimia tano ya wale ambao wapo wapo, hawajui wasimamie wapi; kwa mabeberu ama kwa MATAGA. Tuwape elimu bila kuwabagua.
  13. Mzee Mapenzi

    Wanyonge wameungana na mabeberu wamewasikiliza

    Kwa mara ya kwanza nimeanza kuona Watanzania wamechoka na matamko yenye kuwaminya. Watanzania wamechoka kutumiwa kwa kudanganyiwa unyonge. Unaweza kukubali ama kukataa, lakini nimeona na nimesikia, idadi kubwa ya Watanzania wanyonge wamefurahi nchi yao, kunyimwa mkopo na Bank ya Dunia...
  14. Mzee Mapenzi

    Mnaoshauri wasusie uchaguzi, Ni kweli mmeamua kuwasahau Lipumba na Mrema?

    Nawakumbusha tu ndugu zangu. Tena ndugu ambao mnauchungu na yanayoendelea kwenye chaguzi ndogo, ambayo tunayatarajia kwenye chaguzi kubwa mwakani. Tanzania ni nchi ya vyama vingi, lakini watanzania wengi tunaiangalia Chadema zaidi kuliko vyama vingine. Act inajitutumua lakini bado haina...
Back
Top Bottom