Recent content by Mzee Kipara

  1. M

    Zari amwambia Diamond "usinijaribu"

    Ushauri wa bure kwa Diamond; anza kuwa na account za siri ambazo utaficha sehemu kubwa ya pesa zako, sasa hivi wote Zari na Hamisa wana nyenzo kubwa za kukunyonya mpaka damu yako ya mwisho, take this very seriously, never ever underestimate women.
  2. M

    Kuna tatizo kwenye vyama vyetu vya wafanyakazi

    Hivi vyama vya wafanyakazi Tanzania navishangaa sana, tunakatwa mshahara kuvilipia ili vitutetee lakini havifanyi hivyo. Najaribu kutafakari maamuzi ya serikali ambayo yalipaswa kuwasha moto kwenye vyama vya wafanyakazi lakini viko kimya Kusitishwa kwa ajira kwa watu waliokuwa wameshapewa barua...
  3. M

    CHADEMA yaja kivingine

    Kama kweli wanajipanga kuongoza basi waanze kutengeneza pool ya wagombea wenye kuchagulika. Wakimrudisha Lowasa 2020 wahesabu maumivu mengine.
  4. M

    Mbowe ajitosa kuwatetea Watumishi wa Umma waliofukuzwa

    Huo ushauri unngempa Mbowe maana ndo aliwafukuza kina Zito, Kitila, Mwigamba, Shonza, Mchange etc bila kuwasikiliza. Hawa wanaotumbuliwa ni kwamba wanasimamishwa kupisha uchunguzi, wakibanika na hatia watapelekwa mahakamani ambapo watasilizwa sana tu, la kama hawana makosa watarudi kwenye...
  5. M

    Mbowe ajitosa kuwatetea Watumishi wa Umma waliofukuzwa

    Mbowe inabidi achunge kauli zake, kwa sababu zinafanya wapinzani waonekane watu wa ovyo. Bado tunahitaji upinzani imara unaoungwa mkono na wananchi wengi.
  6. M

    Six pack

    Hiyo kiboko!
  7. M

    Prof. Kitila Mkumbo: Dhana na msingi wa Muundo wa Uongozi wa ACT-Wazalendo

    Asante prof kwa ufafanuzi, umeeleweka.
  8. M

    Ni sahihi kwa Mbowe kulala Hotel ya Dola 700 kwa siku huku wafuasi wake wakishindia Mikate na Maji?

    Swala la rais wetu kuwa mzurulaji lilishakuwa established na kila mtu analifahamu, lengo letu ni kuwa na chama kitakachotupatia viongozi ambao hawarudii hilo kosa. Sasa CDM hata kabla ya kuingia madarakani wanafanya makosa yaleyale ya CCM, wakipata madaraka si itakuwa shida zaidi?
  9. M

    Lowassa, Membe, Pinda, Sumaye na ombwe la falsafa!

    Hii siyo makala yangu mkuu, ni makala iliyoandikwa na Johnson Mbwambo kwenye gazeti la raia mwema. Mimi nimepost tu baada ya kuona kuwa alichoandika kina-make sense.
  10. M

    Lowassa, Membe, Pinda, Sumaye na ombwe la falsafa!

    NIANZE kwa kuweka bayana mapema kabisa kwamba sikubaliani na wale wote wanaoamini ya kuwa muda haujawadia kwa Watanzania kuanza kutafakari kuhusu mtu anayefaa kuwa rais wao mpya ajaye. Au wale wanaowabeza na kuwakatisha tamaa wanaotangaza mapema nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa...
  11. M

    Shibuda: uongozi na utumishii bora na uliotukuka utatoka ccm

    Huyu sasa ndo msaliti, kina Dr Kitila mlikuwa mnawasingizia tu. Ila kwa kuwa hana nia na uongozi wa chama anapeta tu.
  12. M

    Tunataka uhuru wa kuvaa tunavyopenda

    Wote wawili hawajavaa pichu, yaani hapo ni kama tunavyosema jeshini, kama umeona target endelea kwa wakati wako, hakuna kizuizi.
  13. M

    Tunataka uhuru wa kuvaa tunavyopenda

    Ama kweli dunia inakaribia mwisho. Mwanangu kua uyaone.
Back
Top Bottom