Recent content by Mzee Chayayi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Habari zaanza kuvuja kuhusu zilikoenda Trilioni 1.5 "zilizopotea"

    Hoja ya 1.5T haiwezi kujibiwa kirahisi hivyo. bringback our 1.5T
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

    Kwenye hili lazima watu waungane walipinge, serikali ya ccm ina uhakika gani kama mdai atafikisha hiyo miaka 55 au 60?? huo ni wizi mpya. na hili siyo la buzwagi tu. ilipaswa vyama vya wafanyakazi viungane vikatae huo uhuni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

    "Tuna waziri wa mambo ya ndani wa ajabu haijawahi kutokea" kwa hiyo mhalifu adhabu yake ni kupotezwa? Mwiguru ndiyo wewe uliyekuwa unautaka urais?? hufai kuwa hata mwenyekiti wa nyumba 10.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mpende, mchukie lakini Zitto anaendelea kuwa mwanasiasa adimu katika Tanzania yetu

    Kinachoisumbua chadema ni kukosa agenda, chadema imejikita kutoa matamko, imejikita kulaani, lakini bado hawajaonyesha njia na bado hawajachukua hatua dhidi ya uhuni wanaofanyiwa na serikali ya jiwe. Hapa kuna makosa mawili yamefanyika, 1. kuahirisha ukuta. 2. Wabunge wake kuendelea kujitokeza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atembelea ofisi za LHRC, akutana na Mkurugenzi wa kituo hicho

    Namuona kamanda baada ya kutoka mahabusu, ameamua kufuga ndevu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakosoaji wa Rais Magufuli wana hoja zinazofanana, lakini wanakosa nguvu ya pamoja

    Wakosoaji wa rais Magufuli wapo na bila shaka wanatimiza haki yao ya msingi kwa mtawala yaani haki ya kukosoa, Wakosoaji hao ni watanzania na wasio watanzania, bila shaka ni maelfu kwa mamilioni. Wapo wanamkosoa hadharani, na wapo wanaomkosoa wakiwa wamejifungia vyumbani mwao, Lengo la kukosoa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo, Mange Kimambi na Evarist Chahali wajuzeni watanzania fursa zilizopo nje ya Tanzania

    Hata kama kuna uhuru wa kujieleza, kujieleza kwako hakueleweki.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Kikundi kinachotekeleza mauaji kinatoka CHADEMA chini ya G. Lema. Ningemfunga Mbowe miaka 200

    Mwenye wajibu wa kuteua amhurumie huyu bwana amteue,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Himidi Sanga(Iringa): Waraka utakaosomwa Makanisani siku ya Pasaka ni wa kitume

    Haya marumbano kati ya serikali na viongozi wa dini hayataiacha nchi salama, rejeeni hoja ya "nani achinje" wakristo wengi waliacha kununua nyama kwenye bucha zote zilizodhaniwa ni za waislam, wakristo walinunua nyama kwa mkistro mwenzao, na sasa viongozi na makada wa ccm na serikali wameingia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunapoishtaki serikali ughaibuni tumesahau unyonyaji waliotufanyia hao walami?

    Ni upuuzi wa hali ya juu kwa serikali yako kutegemea bajeti yake kwa wazungu au wakoroni wetu wowote wa zamani.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la watoto waliotelekezwa VS Sakata la madawa ya kulevya

    Kwenye hilia bashite atachemka asubuhi tu, anaweza akatafuta wanawake wenye watoto kwa lengo la kuchafua watu, rejea inshu ya Mchungaji Gwajima, lakini linapokuja suala la kupima DNA kutibitisha madai ya wanawake hao, Basheti ataumbuka.
  12. M

    JamiiForums Tanzania CAG aonya ukubwa wa deni la Taifa kwa GDP tushafika 73% ikifika 76% itakuwa shida, Magufuli asema wataendelea kukopa

    Kama huna uelewa wa mambo hayo ni bora ungenyamaza, CAG haondolewe kwenye cheo chake kama ambavyo aliondolewa Nape
  13. M

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga wa WARAMI awajibu maaskofu wa KKKT; adai wanatumiwa na CHADEMA

    Serikali inawasemaji wengi kweli kweli, Mwakibinga badala ya kujenga, amekuja kubomoa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makundi yote ya kijamii wamewakataa, kimebaki CCM tu

    Nadhan siku si nyingi matamko yataanza kutolewa kitaasisi. mfano Madhehebu ya kikristo kupitia CCT jumuiya hii inaundwa na makanisa mengi sana likiwemo KKKT, Anglicana, AICT, Moravian, nk
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Siasa za CHADEMA na Vurugu za CHADEMA mwaka 2012

    Kisandu, butimba walikufanya nini? naona umeanza kukumbuka ya mwaka 2012.
Back
Top Bottom