Recent content by mzazi

  1. M

    Freeman Mbowe: Ni Upumbavu Kutumia zaidi ya Milioni Mia saba kufanya Uchaguzi wa Madiwani walionunuliwa na CCM

    Kweli wewe unatumia masaburi kufikilia. hata shule za kanumba hujasoma maana ungeelewa asemacho mbowe. Kwa ujinga wako wa coment yako
  2. M

    Wadi mpya Muhimbili 'hazina vyoo'!

    Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kwanza unajichanganya mwenyewe ooh mafundi wanajenga, vilivypo havitoshi mimi nilijua hakuna kabisa. Achana na siasa maji taka jenga nchi yako nasi kilakitu kuponda tuu.
  3. M

    Hakuna Uwezekano wa Bunge kupitisha Sheria za Gesi, wanapoteza Muda!

    katiba tunayotumia ni ya mwaka 1977 so hapa jikite kwenye katiba ya sasa mpya unayo wewe na maccm wenzako nyambafu
  4. M

    Edward Lowassa special thread

    nafikiri kichwani kwako hakuko sawa maana unachotetea kwa lowasa sijui ni nini subili atakupa ukuu wa wilaya
  5. M

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    nikionacho mimi hizo ni lawama zisizo na msingi somesheni watoto shule na si kucheza vigodoro halafu utegemee mtoto wako atakuwa mkaguzi wa shule au mkurugenzi wa taasisi fulani ni ngumu. mkapa kawapa chuo morogoro mmeshindwa kukiendesha hata kupaka rangi tu majengo mmeshindwa mnakuja kulalama...
  6. M

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    usikoti mstari mmoja kwenye biblia soma kwa lakini na uelewe maana ya huo mstari. natamani nikueleweshe lakini nitakuwa natwanga Maji kwenye kinu
  7. M

    Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

    mfuko wa cement bongo kuuzwa 7000 inawezekana maana kama unataka Ku export cement Leo price per bag ni dollar 3
  8. M

    Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    mbeya ni jiji kubwa kuliko mwanza na Arusha sema mbeya na arusha hazina miundombinu japo mbeya kwa sasa wamejitahidi. Arusha ni jiji linalojengwa na serikari lakini mwanza na mbeya wenyeji ndiyo wanao jenga jiji huo ndiyo utofauti uliopo. Tanga ni jiji ambalo halikustahili kupewa jiji ila kwa...
  9. M

    Pinda awasili Doha na msafara wa viongozi 11 wakiwemo mawaziri 5 kutoka Tanzania

    kasome kitabu cha nyerere cha kiongozi wetu ndiyo utajua wewe una rahisi wa aina gani
  10. M

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    kuna wasomi nchi hii au vilaza. sijawahi ona wanazuoni mbumbumbu a.k.a vilaza kama hawa wa Dodoma
  11. M

    Ikulu yamtetea Prosper Mbena

    sema kama na wewe ulipata mgao maana naona unatokwa na povu hatari. kila nyaraka au vidhibitisho vya ukawa ni kweli tupu. subiri hii escrow bado haijaisha.
  12. M

    Je, ni sahihi Mwanajeshi na Polisi kutolipa nauli?

    kuna wazee hovyo sana kama wewe jeshi ni kazi kama kazi nyingine kulipa nauli wanapaswa kulipa. mbona nchi zote zinazo tuzunguka wanalipa?
  13. M

    Watanzania tumpokee Putin kwa wengi kuliko Obama, waje hata wa mikoani

    ndiyo maana unashinda lumumba
  14. M

    Barua Ya Benno Ndullu & Saada Mkuya kuomba pesa hii hapa

    watanzania tujiandae mabadiliko makubwa yatakayo letwa na Raisi ajaye maana atakuta serikari haina hata cent tano
Back
Top Bottom