Recent content by Mzashonga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya mfanyakazi wa saluni

    asante kwa msaada wako, umenisaidia kwa kiasi fulani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya mfanyakazi wa saluni

    Habari wana jamvi, Naomba msaada kwa wanaofahamu, malipo ya mfanyakazi wa saluni ya kike yanakuaje na utaratibu mzima unakwenda vipi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msichana wa saluni anahitajika

    Habari zenu wanajamvi, Natafuta msichana wa kufanya kazi saluni ya kike. Vigezo Umri kuanzia miaka 20 mpaka 35 Awe anajua kusuka, kueka dawa, kuset, kufanya facial. Awe anaishi maeneo ya karibu na Tandika (sio zaidi ya daladala moja toka alinapoishi mpaka Tandika). Muaminifu na mwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maji maji ukeni kama mtindi yananikera, je ni uchafu? nahisi kumuacha

    mwanamke asipojisafisha vizuri kabla ya kuanza game uo mtindi ni lazima utokeze, unakua ndani sana so wakati unamgegeda unakua kama unauchomoa na ukimtaarisha na yale maji maji colorless yakianza kutoka hawezi tena kujisafisha so umshauri ajisafishe before hamjaanza kitu... sio ugonjwa uo.:flypig:
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    nashkuru
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    asante sana kwa dua na ushauri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    asante
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    unavofikiria sivo ilivo, sijawahi kutumia izo dawa toka nizaliwe...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    cjawahi kutumia dawa izo because sina mda mrefu toka kuolewa na sijapata mtoto bado
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    asante sana ndugu yngu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    nashkuru kw kunipa uono, ntafanya ivo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    nimeonana na doctor ambae amewahi kumtibu rafiki angu tatizo kama langu na ndo alinipa dawa for the first time lakini hazikunisaidia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    nashkuru kwa ushauri
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    flow ni ndogo mno, some times hamna kabisa but haimalizi siku bila kutoka
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nisaidieni

    Mimi ni mwanamke mwenye mume, huu ni zaidi ya mwezi wa pili npo kwenye hedhi nimefanyiwa ultrasound sina tatizo nimetumia dawa za hospital bado, za kienyeji bado tatizo linaendelea...... Mume wangu ananihitaji ata mi nahitaji kitu roho inapenda lakini nashindwa..... Nisaidieni nifanyeje, au...
Back
Top Bottom