Recent content by mzaramo92

  1. M

    Mazingaombwe yanayotokea Uturuki

    Ilikuwa typing error, operation ilikuwa 1961.
  2. M

    Mazingaombwe yanayotokea Uturuki

    Uzi gani sheikh wangu?
  3. M

    Mazingaombwe yanayotokea Uturuki

    Sadam na Iraq hazikuvamiwa sababu ya utawala wa mabavu au silaha za hatari. Bali sababu halisi ni kuwa Sadam na nchi yake walikataa system ya kuuza mafuta kwa kutumia dola na wakaanza majaribio ya kuuza mafuta kwa kutumia pesa ya Iraq. Wa america waliogopa kama watamwacha Saddam na Iraq...
  4. M

    Mazingaombwe yanayotokea Uturuki

    Email niwatu wa chama tawala (chama chake) walikuwa wanatumiana. Hazikuhusisha wapinzani, so utaona mwenyewe nani kaandaa jaribio hili.
  5. M

    Mazingaombwe yanayotokea Uturuki

    Nashukuru kaka, tupo kwenye ulimwengu unaotaka umakini sana.
  6. M

    Mazingaombwe yanayotokea Uturuki

    MAZINGAOMBWE YANAYOTOKEA UTURUKI. Tarehe 16-17 mwezi wa saba mwaka huu dunia ilipata mshtuko baada habari za kuwapo Kwa jaribio la kupindua nchi uturuki kupitia vyombo mbalimbali vya habari duniani na baadae zikaenea habari kuwa jaribio hilo limeshindwa. Itakuaje kama ntakwambia kwamba...
  7. M

    Tuache dhihaka kwa vijana

    By; RASHID S. MBEGU “Sasa nafurahi mkoa wangu ndo umekuwa wa kwanza kutekeleza, katika matembezi yangu haya wamenipeleka katika shule moja ya msingi pale chang’ombe. Nikafurahi sana kwa yale niliyoyaona. Na nina uhakika hawakunidanganya, wangenidanganyaje? Nimekuta wanafunzi wanashona nguo za...
Back
Top Bottom