Recent content by Mzanzibar Halisi

  1. Mzanzibar Halisi

    Siri yafichuka, Kumbe nyumba Baraka Da Prince anayotamba kujenga si yake, ni ya Mama Naj

    Kama namuona pale Soud Brown kule huku na huku nahisi huu ubuyu mbichi. Natoa mda kwanza zisibitishe na SHILAWADU.nitarudi baadae.
  2. Mzanzibar Halisi

    Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

    Na washkaji wa Nigeria kwake sio number one wa kumpeleka madukani Sauzi beach kununua vifaa vya ujenzi zaidi ya kutumia bidhaa halisi za Kitanzania kuonesha ana upendo na cha kwao.
  3. Mzanzibar Halisi

    Makamu wa Rais Samia Suluhu: Ukosefu wa dawa ni tatizo la muda mfupi

    Kwani binaadamu anakufa muda mfupi au mrefu akitoka damu nyingi bila ya vifaa tiba?
  4. Mzanzibar Halisi

    Hivi Waziri Mkuu amesharudi Dodoma?

    Kaja Dar kuleta zawadi na kuwaambia utamu wa zabibu atarudi kulepeka dawa za vichaa pale milembe maana taarifa iliyotoka kila walipo Watz 4 basi mmoja kichaa na nahisi atarudi na kufuatana na yule wa buguruni pale akapewe matibabu.
  5. Mzanzibar Halisi

    Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki

    Kuishi kwako au kwa mkeo ni maamuzi ya mtu binafsi . Tumia vigezo vya akili sio vya mwendokasi unakuwa mtu kwenye watu.
  6. Mzanzibar Halisi

    Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki

    Wengine tunapochangia mada tunakuwa tunasema kwa kuangalia dunia kwa ujumla wake sio kusema kwa rejareja. Ushauri wako mzuri ila mfano wako mbovu kwa wasanii wa hela za madafu.
  7. Mzanzibar Halisi

    Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

    Tatizo lako ni shordoo ndio maana hunifahamu ila ukikuwa utaacha.
  8. Mzanzibar Halisi

    Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

    Akili yako na makalio yako nahisi vinashabiana.
  9. Mzanzibar Halisi

    Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki

    msanii wa show ya playback hawezi kupiga hela zaidi ya msanii anaepiga show live. hivi kwanini mashabiki wa domo mnakuwa washamba kama domo.
  10. Mzanzibar Halisi

    Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

    kweli Watanzania vilaza hii comment nimeikuta jana kwenye page ya mzazi will kule FB wewe umefanya copy n paste na kujifanya kama yako nahisi hata hiyo lugha ya malkia inakupa shida mashabiki wa domo wengi wanatumiwa kwa tigo 4G.
  11. Mzanzibar Halisi

    Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

    sanii lake Domo haliwezi kupiga show live bila ya playback . Watoto jamaa matako sana pale WCB. Hata kwenye Ziff tamasha la majahazi hawaitwi coz hawana sifa. No 1 kaiba kwa baba levo. Eti msanii domo wakati Davido kasema nigeria mpka Tanzania atamfanya kuwa maarufu na akakubali kuwekwa...
  12. Mzanzibar Halisi

    Ilichokifanya Serikali kupitia Kamati ya Maafa mkoa wa Kagera ni wizi wa uaminifu

    Mbaya zaidi wanapeana hela pale nyumba nyeupe anaweka mfukoni bila ya risiti . Tushakunywa Pombe tunapigana mitaani bila ya Suluhu kupona labda Majaaliwa yake maanani.
  13. Mzanzibar Halisi

    Rihanna, Mama hata kama ni 'Maphoto' si kwa mwendo huu!

    Ina minofu na shepeuu nene na nyevunyevu kwa Twasira
Back
Top Bottom