Recent content by mzalendoorijino

  1. M

    JamiiForums Tanzania Who is the female President do we need?

    Cast your vote now.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TBC inafanya kazi kwa maslahi ya nani?

    They are very stupid.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka ziarani Muleba Kusini, asafiri kwa bodaboda umbali wa kilomita 13

    Mbunge wa muleba kusini Prof Anna Tibaijuka alitembelea kata ya kimwani kijiji cha kaguramo kitongoji cha kaazi nyakishabo na kulakiwa namamia ya wananchi waliopanda mlimani wakiwa na matawi ya miti huku wakiimba. Kaazi ni kambi kubwa ya wavuvi Mwenyekiti wa kitongoji cha Kaazi Nyakishabo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    Kazi ya Sekretarieti ya maadili ya Viongozi wa Umma ni kama ifuatavyo: `1. kufanya uchunguzi "Uchunguzi ulishafanyika kwa kumuhoji Prof Tibaiujuka" 2. Kuwasilisha matokeo ya uchunguzi katika Baraza la Maadili. "Jana tare 26/2/2015 sekretarieti ya maadili iliwasilisha uchunguzi walioufanya"...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    Kazi ya Sekretarieti ni kufanya uchunguzi kisha kuwasilisha matokeo ya uchunguzi katika Baraza la Maadili. Baraza nalo linafanya uchunguzi wa kina na kisha hutoa ushauri kwa Rais juu ya hatua za kuchukuliwa dhidi ya Kiongozi. Rais ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kuzingatia ushauri wa Baraza.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    BARAZA la Maadili ya Viongozi wa Umma, limemsomea rasmi mashitaka aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (pichani), na kubainisha kuwa kiongozi huyo anastahili kujibu mashitaka kwa kosa la kuomba na kujipatia fedha kinyume na Sheria ya Maadili ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    Gazeti lenyewe la MBowe hilo unategemea wataandika nini zaidi ya uzushi na udaku wa kisiasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete kumuomba msamaha Prof. Tibaijuka

    Ni kupitia wimbo wake mpya unaenda kwa jina la "Njoo uchukue" wimbo ambao umebeba salamu toka kwa Mrisho Mpoto kwenda kwa mjomba(JK). Katika wimbo huo Mrisho Mpoto amemtaka JK kumuomba samahani Prof Tibaijuka kutokana na kauli zake zilizopelekea mama Tibaijuka kupoteza nafasi yake ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete kumuomba msamaha Prof. Tibaijuka

    Ni kupitia wimbo wake mpya unaenda kwa jina la "Njoo uchukue" wimbo ambao umebeba salamu toka kwa Mrisho Mpoto kwenda kwa mjomba(JK). Katika wimbo huo Mrisho Mpoto amemtaka JK kumuomba samahani Prof Tibaijuka kutokana na kauli zake zilizopelekea mama Tibaijuka kupoteza nafasi yake ya uwaziri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Will Escrow Saga Dent Tibaijuka’s Presidential Ambition?

    In the run-up to the 2010 General Election, Prof Anna Tibaijuka quit her high level UN job in Kenya to run for the Muleba South parliamentary seat on the ruling Chama cha Mapinduzi's ticket. She faced a tough battle as the incumbent was Mr. Wilson Masilingi, a flamboyant former cabinet minister...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rugemarila ahojiwa na TAKUKURU

    Bilioni 73 za singasinga wanufaika ni wakina nani?? Hawa ndo waliobeba pesa kwenye magunia na lumbesa pale stanbic bank
  12. M

    JamiiForums Tanzania Stanbic wamegoma kutoa orodha ya waliochukua

    Wanufaika wa bilioni 16 za Rugemalira kupitia akaunti ya mkombozi bank walishajulikana. Tunataka kuwajua wanufaika wa bilioni 73 za Singasinga kupitia akaunti ya Stanbic.Hawa ndiyo waliobeba pesa kwenye masandarusi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

    O-level Lukuvi amesoma wapi anayejua atuambie@mwanamalundi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

    Unapataja jina la Prof. Tibaijuka dunia na ulimwengu inamtambua na kumthamini kutokana na na umahili wake katika maswala ya mipango miji. Msemo wa nabii hakubaliki kwao umezidi kujidhiilisha baada ya raisi JK kutengua uteuzi wa mwanamama msomi na mtaalam ktk maswala ya Mipango miji na badala...
Back
Top Bottom