Recent content by Mzalendo120

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujijua kuwa kama una positive Energy angalia hizi sifa

    Je Mwamposa ni positive,negative au neutral? Vipi yule mama mbarikiwa nae yupo kundi lipi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aokoa TZS 100bn kila mwezi Bandari ya Dar es Salaam pesa inayoweza kujenga madarasa mapya 5,000 kila mwezi

    Madarasatu. Mbona hamtaji vijana wangapi kupata ajira? Mbona hamtaji vituo vya afya? Mbona hamzungumzii mitaji kwa wafanya biashara?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

    Wakweli wapo na matapeli wapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sasa kwanini hajaenda na mwandani/ mwenza wake?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Haikuwa Sahihi Kufanya siasa za kampeni ndani ya Kanisa la Arise and Shine

    Simuoni mwanasiasa atakayepata ANGALAU harufu/ manukato ya Pepo. Ni maigizo tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkojani na Dotto magari hawakupaswa kupewa fomu

    Aliye wapitisha babu tale, mwijaku nk ndio atampitisja mkojani,baba levo na mazagazaga mengine
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia, TRA imekusanya kodi Tsh. Trilioni 120, kiwango kikubwa kuliko awamu zote kabla yake

    Pia amekopa kwa kiwango kikubwa kuliko watangulizi wake
  8. M

    JamiiForums Tanzania PSSSF Sio mfuko rafiki kwa watumishi. Wanufaika wanahangaika

    Kama mtu amekamilisha taratibu zote na wanachakata zaidi ya miezi mitano je unataka kutuambia nini? Nadhani wewe nae bora huyo aliyejipambanua kama ameshindwa Watu wa aina hii bora watoweke duniani
  9. M

    JamiiForums Tanzania PSSSF Sio mfuko rafiki kwa watumishi. Wanufaika wanahangaika

    Sasa mbona anakua kama mchawi
  10. M

    JamiiForums Tanzania PSSSF Sio mfuko rafiki kwa watumishi. Wanufaika wanahangaika

    Atakuja kufyekwa mtu sikio
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kibamia...kinanipeperushia njiwa wangu!!!

    Naona umemuongezea mdau silaha atembee kifua mbele
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kibamia...kinanipeperushia njiwa wangu!!!

    Penye udhia penyeza rupia.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2030 Rais Samia Atakuwa Na Uwezo wa Kuilisha Afrika Nzima Na Kutoa Misaada ya Chakula Kwa Baadhi ya Nchi Za Ulaya na Asia

    Nchi ya watu wenye utapiamlo ikailishe Afrka nzima? Acheni kujifanya hamna akili
Back
Top Bottom