Mm nimewahi kukopa kwao unaenda na bei za huyo suppliers wao wanamlipa au unaweza kuwaomba uchukue hela uingie mtaa ukatafute mwenyeo suppliers watakudai risiti na document za manunuzi uzuri wa majamaa wanaelewa sana ukizingua marejesho
Mkuu piga chini hio mAma kwanza hairisha mipango yote ya ndoa huyo ni muongo na single mama wengi ni waongo na wana tabia ya kuficha makucha hadi utakapowaweka ndani kama amekudanganya kwa vitu basic kama umri wake ujue kuna mengi tu anakudanganya
Shtuka mkuu
Chaaaaaaama leo hakuwa na mchezo mzuri na nilizani kadevu atamtoa ili aingie fundi haruna nyonzima fabregas lakini uchebe akanambia subiri nikuoneshe nini namanisha akamuita nje super engine Emanuel anord okwi na kweli hesabu haikudanganya ni vile alipokea pass marizawa triple c akamuangalia...
Nimeona hii lakini sio National Assembly ni baraza la state assembly kule wanaishi kwa state kama marekani lakini pia itawaseidia pia mwaka huu wamepata advocate wa kwanza katika history of siddi nahisi stage ya kwanza wanaotakiwa kufanya ni kutambulika ndani na nje ya India kuna watu pale pale...
Fact mkuu nowadays media zote inaisema Vibaya S.A ni kweli imefika muda wasouth wamejitambua tatizo la jamii hii ya siddi hawajasoma,wapo wachache,hawana uchumi wala exposure ni ngumu sana kujikomboa
Asante mkuu kwa taarifa kwa kweli hawa watu wanakumbana na ubaguzi wa hali ya juu Jambo ambalo linawafanya wanashindwa kukaa mji ambao sio wa kwao wao waishi sehemu ya mji wao tu wanafikia hadi kuuliwa
Ukombozi ninaotaka mimi ni tofauti na wanaotaka wao mimi kama mtanzania ni kuamua tu sijaamua kuwa huru kwa kiasi ninachotaka siku nikiwa na utayari leo kesho nakuwa huru na kwa my case najua ninachotaka siko tu tayar kukipata kwa hawa ndugu zetu hawajui hata nini wanakitaka kwahio you can...
Mkuu nahisi kuna jitahada zinahitajika kufanya hii jamii ya waafrika wenzetu itambulike wanapitia ubaguzi mkubwa kama mtu ana taarifa zaidi kuhusu hii jamii aweke watu wahzidi kujifunza
Jamii ya watu wa Siddi ni watu wenye kupatikana India katika mji wa Gujurat na karnataka Siddi community ni jamii iliyo nyuma sio kimaendeleo tu hata kielemu na kutambuliwa kama jamii ya India ni wahindi wenye muonekano wa kiafrika walioishi India kwa zaidi ya miaka 500 nyuma kwa kweli ni jamii...
Juzi Lowasaa akiwa Arusha aliwonya polisi na utawala na dola kugoma kuachia madaraka atakopowaondoa rasmi octoba..na kusisitiza atawashitaki ICC the Hague..Hayajapita masaa 72..Mwendesha mashtaka mahakama hiyo Bi Fatou Bensouda Leo saa kumi jioni amesema yafuatayo..`The ICC is keenly watching...
Ina maana mkuu hela ya bia ni muhimu kushinda mkeo kuweka saving vikoba?? Den jioni ugonge pombe mm nakuambia soon utaleta uzi hapa tabia za mke wangu sizielewi na ukiona hivo ujue ushachapiwa maana hakuna namna Na achapwe tu maana saving sio kitu kuliko pombe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.