Recent content by Mzalendo Uchwara

  1. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    Kweli kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
  2. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania MBANAGA CHAKE HANA KONDO.(If you spoil what is your own you have no quarrel)

    Tangu awali pande mbili za muungano zilikuwa na malengo tofauti, na malengo yao yakafunikwa na ulaghai. Mwalimu alitaka serikali moja, mbili ilikuwa ni kianzio tu. Angalia jitihada za makusudi alizofanya kuongeza mambo ya muungano na kudhoofisha Zanzibar. Upande wa Pili, Karume alitaka...
  3. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Hapa unamlisha maneno Mwalimu Nyerere. Ulichokiandika hapa ni typical serikali ya majimbo. Sidhani kama Mwalimu aliwahi kukusudia kitu kama hicho. Plan isiyo rasmi ilikuwa ni kuongeza mambo ya muungano taratibu na kuongeza muingiliano wa watu mpaka ifike mahali kusiwe na haja ya serikali...
  4. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jezi za timu ya Taifa ni mbaya, hata ukiisugua na dodokii

    SSH atajuta kufanya kazi na huyu mtu. Ni tatizo kwelikweli.
  5. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Lema amefanya jambo jema, japo....?

    Ishu yenye utata zaidi ni kusema kuwa Heche alirudishiwa paspoti yake baada ya kuwasiliana na Mkurugenzi wa Usalama. Lengo la Lema ni nini hapo?? As a matter of fact Idara inamawasiliano active na viongozi wote wa juu wa vyama vya siasa. Siku hawa wanaharakati wakijua Lissu na Samia...
  6. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Polisi wajifunze kusikiliza. Mtu akikwambia mimi daktari nawahi dharura basi uliza kitambulisho kama anacho mwache aende. Mimi nimewahi kusimamishwa nikiwa na mgonjwa kwenye gari, baada ya kuona jamaa wananipotezea muda nikawasha gari na kuondoka zangu. Bahati nzuri walinipotezea, lakini...
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Kama ni ujumbe wa kitisho basi tumtie moyo na kumuombea Siha njema...kazi hii inayo majaribu mengi sana

    Angekuwa na busara asingegombea 2025. Bosi wake alifariki katika mazingira yaliyoleta minong'ono kuwa 'imechezwa faulo', sasa hekima hapo ilikuwa yeye amalizie kipindi chao kisha aseme "Kazi mliyotukabidhi 2015 mimi na Bosi wangu tumeimaliza, japo yeye alitwaliwa 2021 lakini nimemsaidia...
  8. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Lissu ndiye target, Lema ni amplifier

    Wanaharakati wengi wana personal grievances na serikali na wanajiweka kwenye mwavuli wa CDM kwakua ni chombo kinachoweza kuwasaidia kufikia malengo yao binafsi. Mwisho wa siku CDM itabaki kuwa taasisi ya kisiasa, hawawezi kuwa wanafanya kazi ya kuwafurahisha wanaharakati muda wote. Unaweza...
  9. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC: Tunaishauri CHADEMA na Tundu Lissu kutafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo

    Basi mwenyekiti wa CCM aende Ukonga akazungumze na Tundu Lissu. Alafu hivi wale waliouawa Oct 29 walikuwa CDM eeh? Mna utani na watanzania nyie.
  10. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Asiaminike sana, system wengi huwa hawastaafu

    Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kumwamini Madeleka. Hata yeye mwenyewe tu anaonekana kazi ya kujipenyeza haiwezi.
  11. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Tangu arudi kukalia kiti , amekuwa mshauri sana

    Pamoja na ushenzi alioufanya na anaendelea kuufanya, nadhani ndani ya nafsi yake anahisi "anaonewa". Anahisi CCM na watanzania hawamkubali kwakuwa ni Mzanzibari. Hivyo yeye anjiona kiwa ni victim.
  12. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Mwenda Tezi na Omo marejeo Ngamani-TEC Wameelewa,Bado nani Hajaelewa?

    Hali ya kisiasa Tanzania haitokuja kurudi kuwa kama ilivyokuwa zamani, kuna mambo yakifanyika huwa hakuna kurudi nyuma.
  13. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Katiba Mpya wale wanaojifanya Miungu watu katika ofisi za Umma watatuheshimu

    Katiba mpya ipi hiyo? Hawa ACT hawajielewi kabisa. Yaani wapo kwenye ndoa na CCM alafu wanajidanganya kuwa CCM atawapa katiba itakayohatarisha uwepo wa CCM. Ndugu zangu wakati utafika itatakiwa tu kuupigania uhuru.
  14. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Baada ya Machawa Majinga Fulani Kumkufuria Kaka, Akayapuuza kwa Kuyanyamazia Aka..., Sasa Yameanza Kumkufuria Dada!, Ayapuuze, Ayanyamazie au Akemee?.

    Basi tuanze kumwita dada kuwa ni sadaka ili YEYE afanye yake. Kwasababu ni kanuni ya maisha kuwa jambo baya likifanyika na kukawa hakuna consequences zozote, basi tujiandae kwa mambo mabaya zaidi. Ndio maana baada ya vituko vya 2019 na 2020, wazalendo walipaswa kufanya jambo. Wakaamua kulinda...
Back
Top Bottom