Ingekuwa zamani za kale wazee au wahenga wangesema kuwa hili ni janga na tufanye matambiko ili lituepuke lakini kizazi hiki cha technolojia na ukoloni hatuna hao watu tena badara yake tuna Dini za mapokeo ambazo kwetu sote tunaoamini kupitia hizo Dini za mapokeo tumeanishwa kuwa kupitia Misikiti...
Mtu hukuulizwa siku zote kwa sababu ulikuwa unajulikana ni mgonjwa, kwa sasa Wenzie wako kazini yeye yuko anahangaika kuichafua nchi, afutiliwe mbali kabisa ili apate mda mzuri wa kufanya hayo mahubiri. asitengeneze propaganda za kipumbavu
Leo katika hali isiyo ya kawaida, Mh Tundu Antipas Lissu amekuwa akisambaza waraka katika mitandao ya kijamii akituhumu watu kula njama za kumuondoa katika nafasi yake ya ubunge, Tundu Antipas Lissu sisi kama watanzania wenzio na pia makazi wa jimbo la singida mashariki tunakuomba urudi...
Hii inamaana gani? niko njiani naelekea huko ntarudi jukwaani
======
Mtwara. Wakati Serikali ikiendelea na mpango wake wa kununua korosho baadhi ya wafanyabiashara wameomba wanunue korosho hizo ili waendelee na ubanguaji katika viwanda vyao.
Maombi hayo yamekuja baada ya Waziri wa Kilimo na...
Mwenendo wa hivi karibuni wa jarida kongwe la "The Economist" kuchapisha habari za upande mmoja, kuongeza chumvi na kukosoa kila anaetoa maoni chanya ya mwenendo wa serikali au Rais JPM unatia shaka. Mfano ni makala yao ya hivi karibuni inayodai kuwa 'JPM anatengeneza mazingira ya hofu Tanzania'...
Msisitizo ambao umekuwa ukitolewa na Rais juu ya asie fanya kazi na asile umepelekea watanzania wote kuhakikisha wanalima mazao kwa ajili ya chakula pamoja na biashara, aidha kutokana mutikio kuwa mkubwa hali hii imepelekea uwepo wa chakula kingi nchini na hivyo wanunuzi wa vyakula kuwa...
Zao la korosho linatumika na baadhi ya wanasiasa kama mtaji wa wa kuwarubuni wananchi kisiasa.
Serikali ilipoamua kuchukua TAX leavy ambayo ilikuwa ikitumika na wanaojiita bodi ya korosho sambamba na wadau kadha wa kadha ndivyo sivyo na pia kuihamishia bodi hiyo chini ya usimamizi wa wizara ya...
kaka naomba nikusaidie kwa mawazo mbadala..kifungu cha sheria kina kataza uanzishwaji wa vikundi vya ulinzi katika vyama vya siasa eg Green guard,blue Guard na Red Brigade kwa maana hiyo kuna vyama vinafanya matukio ya kiualifu kwa kisingizio cha walinzi wa chama ili hali wanavunja sheria za...
watu kama nyie huwa mnasumbua sana kwa maandamano ya mitandaoni but hujaelewa Logic ya hivo vifungu vinavyopendekezwa nakushauli rudi prepo ukasome tena na uelewe vifungu pendekezwa then ndio uje kuchangia
kwanza pole kwa hillo tatizo lakini pili napenda kutoa comment yangu kuwa hili ni fundisho kwa wanawake wote kuwa endapo ikatoka bahati mbaya mimba ikaalibika au kwa wale wauaji wa makusudi wajitahidi kufanya usafishaji mzuri kwenye matumbo yao tena kwa madaktari wenye taaruma ya maswala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.