Napata shida kuamini kama kweli NBS wamechambua Yale majina ya watu walioomba mtandaoni au walioocha nakala kwa watendaji , MTU kaomba ukarani ila kapangiwa kwenda kufanya usaili wa Tehama.
Haya majina yaliyotoka wamechambua akina nani? Maana kuna vituko vingi sana.
Kwa mfano rafiki zangu wana degree za IT ila hawamo kwenye shortlisted ya kwenda kufanya usaili ila mtu cheti cha short course za ICT jina lake limo..
Hatukujipanga kukabiliana na huu ungonjwa, serikali ingechukua hatua mapema tusingekua na mgonjwa hata mmoja tTanzaniaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri watu tukabishana kwa fact sio vitu vya kudhani ,weka mareference tuyaone.
Ushawahi kuona MTU anafungwa bila ushaidi nadhani watalaamu wa sheria wanaelewa vizuri,Katika kutetea hoja yako tupe ushahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.