Recent content by Mzalendo 090

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Nipo tayari kukutana na UKAWA

    HUYU JAMAA ANAYEJIITA thatha AKILI ZAKE NI KAMA ZA JEI.K NA NNAPE.HOVYOO KABISA.SIJAWAHI KUONA RAISI WA AJABU KAMA HUYU.HANA MSIMAMO ANABURUZWAAAAAA....PIA NAWASHANGAA SANA VIONGOZI WA DINI.BADALA YA KUIKEMEA CCM NA UPUUZI WANAOUFANYA ETI WANAUNGANA NAO.AMA KWELI KUNUNULIWA KUBAYA....WEZI,WAONGO...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    Mazimbu hamna umeme
  3. M

    JamiiForums Tanzania KIKWETE, wavuvi tunataka ufafanuzi mara moja, na wasanii wako watuombe radhi

    Watz TULIKOSEA SANA kumchagua huyu jamaa.Inatugharimu mno
  4. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Uchokozi: Hivi Hawa Vijana Wanaojitokeza Kuunga mkono CCM na kuipigia Kura ni vipi?

    Kuna jamaa amenifurahisha sana leo.Ameiiita CCM NI INZI WA KIJANI WALE WA CHOONI.Na wanaoishabikia nao ni kama huyo Inzi pia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Leo man of the match ni Nassari

    Mnaomponda Mbowe subirini ipo cku mtamkuta anawagonga Mama zenu na wake zenu!!!Nyie wenyewe mmezaliwa nje ya ndoa tena nahc huyo Mwekundu baba yako ni mbowe ila hujui unabwatuka tu.Ebu kamuulize mamako asipokuambia ukweli.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

    Mimi situmii kilevi chochote na ni Muadventista Msabato.Sijui ladha ya kilevi ikoje.If you dont know,stop guessing!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

    Wana JF Habari zenu, Naombeni ushauri wenu, mdomo wa chini (Lower Lips) inapoonekana kuwa nyekundu ni dalili au upungufu wa nini? Tiba yake ni nini? Ahsanteni wapendwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi CHADEMA waanza kumea mpaka kwenye UKAWA

    Tangia lini SIMBA akamfundisha YANGA mbinu za kushinda mechi?Utawajua wanaotumwa na CCM tu.Watanzania sasa hivi hatuitaki tena CCM.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    Watz tuangalie hawa wasaka maslahi kupitia vyama vya siasa.TUWAKATAE MAPEMA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anawashwa sehemu ya haja kubwa

    Ahsante Mr Mshana kwa ushauri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anawashwa sehemu ya haja kubwa

    Habarini Jamani.Naombeni ushauri wenu. Nipo kwenye mahusiano na msichana mmoja ambae amesoma MVUMI DCT Chuo cha Manesi na Wauguzi Wasaidizi.Juma lililopita alikua akiniambia anawashwa/anasikia ------(Anus) wake/yake INAMUWASHA.Nilishituka kidogo.Aliniambia eti anahc kama kumechubuka.Haikupita...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya Chuo cha Manesi cha DCT Mvumi Dodoma

    Habarini wana Jamii forum.Samahani kama nitakua nimekosea.Nilikua naombeni kama kuna mwenye mawasiliano na MKUU WA CHUO CHA WAGANGA WASAIDIZI(CO) na MANESI CHA DCT MVUMI DODOMA ANISAIDIE JAMANI.Nimeambiwa jina la utani anaitwa JB ila bado haijanisaidia.Ni namba ya cm au mawasiliano yoyote na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujulishwa.

    Habarini za Asubuhi wana JF.Samahani kama nitakua nimekosea.Ninaomba kama kuna mwenye mawasiliano na Mkuu wa Chuo cha Madaktari/Manesi Cha DCT MVUMI DODOMA Anisaidie.Jina lake la utani ni JB ila nitafurahi kama nitapata jina lake kamili na namba za cm au mawasiliano yoyote,Nina shida ya msingi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara wa CCM Viwanja vya Mwembeyanga wafana

    Naunga mkono hoja,Mtaji wa CCM ni wale wananchi wapumbavu,wasio na elimu,wasiojua kuchanganua mambo na kufanya maamuzi kama wewe.Nikisikia Mtz anekifagilia CCM namuona ni MPUUZI WA KUTUPWA ANAYEHITAJI KUFANYIWA UPYA FORMATING YA UBONGO WAKE HASA WEWE
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya siri au wazi Bunge la katiba.

    Ccm wanatengeneza Katiba yao na sio ya Watanzania tena.Maoni ya wananchi yaliyokusanywa na Jaji Warioba yalishapigwa Chini na JK akishirikiana na Chama chake.Hivi watz tumelogwa na nani?Hivi hii ni kwa sababu ya AMANI kweli au ni UJINGA WA WATZ?Matatizo yote yaliyopo hapa nchini yamesababishwa...
Back
Top Bottom