Recent content by mzabhe

  1. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    Kwa uzoef wako unaweza kunisaidia walau nkajua hadi lenta naweza kutumia sh ngap
  2. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    Hongera sana mkuu,, umeniinspire sana,
  3. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    1. Mkoa ni geita 2. Kiwanja kipo tambarare, solid ground 3. Msingi nataka uwe wa mawe 4. Vyumba nilitaka viwe futi 12, lakin hapa mnaweza kunipa ushaur zaid
  4. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    Mchango wenu ni wa muhimu sana
  5. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana ambaye bado nipo kwenye 20s ambaye bado najitafuta kwenye gurudumu hili la maisha. Naomba mnisaidie kunipa makadirio ya gharama za ujenzi muundo L chumba sebule na single room moja, walau kuufikisha kwenye lenta. NB Kiwanja kipo tayar
  6. M

    Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

    Hata mm,, nlikuwa nafikiria hivo lakin sina uhakika
  7. M

    Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

    Hiyo ni airstrip sio airport
Back
Top Bottom