Recent content by Myynna

  1. M

    Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

    Je hayo majibu ya interview yatarudi lini wadau?
  2. M

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Ivi hizo nafasi zenyewe za operation officers ni ngapi zinazoshindaniwa wadau naombeni ji u
  3. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mm mwl wa sekondari natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka bagamoyo kwenda dar.
  4. M

    Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    Poa ikigori ntafanya hivyo fastaa yani
  5. M

    Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    Mana Bagamoyo pia naweza kufanya haisumbui
  6. M

    Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    Ikigori nisaidie bac km unao uwezo huo au nifahamishe zaidi nini cha kufanya
  7. M

    Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    Duh cku hizi mambo kweli ni magumu
  8. M

    Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    Munimuni niambie zaidi kuhusu hao.teachers junction
  9. M

    Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    Hao teacher juction hawakutozi pesa kweli kukupa hiyo kazi?
  10. M

    Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    Jamani mm ni mwalimu wa degree naomba mnisaidie kupata nafasi ya kufundisha kwenye shule yeyote ndani ya jiji la Dar kwa anayeweza kunisaidia naomba afanye hivyo. Asante.
Back
Top Bottom