Recent content by myunani copy

  1. M

    JamiiForums Tanzania UGALI unaitwaje kwa Kingereza/Kimombo?

    Unaitwa ugali hivyohivyo. Stiff porridge ni uji mzitomzito bado haujawa ugali.mnaujua ugali wa kisukuma nyie!!!ukipigwa nao unatoka nundu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tigo mnatukera na matangazo ya 'caller tunes'

    Jamani kampuni ni nyingi tofauti na tanesco. Hapo ni kuhama tu unapunguza matatizo kwanini ung'ang'anie hapo tu?kwa huduma zipi hasa mpaka nikomae kwao! Futilia mbali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tigo mnatukera na matangazo ya 'caller tunes'

    dawa ni kuhama tu unapunguza matatizo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri awa Rais huko Tanzania akiwa bado waziri

    Ww ndio umeandika point. Huyo bado ni waziri wa ujenzi mpaka baraza litakapovunjwa rasmi na yeye kuapishwa .
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya uteuzi wa ubunge wa Viti maalum CHADEMA/UKAWA

    Naunga mkonyo hoja!lol mfupa hauna ulimii
Back
Top Bottom