Recent content by myplusbee

 1. M

  Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

  kwani kuna mahali nimesema tunanunua mchezaji kwa 500M? Btw, hiyo Afrika Mashariki na Kati unayoisema wewe ni ipi?! Kwa kumbukumbu zangu, umewahi kutandikwa 4 na Mazembe, umewahi kutandikwa 5 na Vita! Sasa another level Afrika Mashariki na Kati ipi?! Na ni mwaka jana tu hapa mlitolewa na...
 2. M

  Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

  Nimekueleza weka hapa mmemnunua kwa bei gani huyo Miquisson; mbona hujafanya hivyo?! Au kwavile unajua na mwenyewe kanunuliwa kwa vidola elf kadhaa tu?!
 3. M

  Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

  Itaje wewe unayeijua!! Narudia: HAMNA UBAVU WA KUNUNUA MCHEZAJI KWA 500M, na isitoshe Miquisson angekuwa na hiyo thamani asingekuwa mtu wa kutoka club moja hadi nyingine kwa mkopo frequently!!
 4. M

  Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

  The problem tule tubilioni 20 twa Dewji ndo mnadhani Simba ni matajiri kweli kweli! Guys, "utajiri" wa Simba ni wa Kibongobongo tu, na kwahiyo bado hajawa na ubavu wa kutoa 500M kununua mchezaji! Kwa Afrika, 500M inalipwa kwa Top Players lakini Simba hadi kesho hana ubavu wa kununua top players...
 5. M

  Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

  Ngoja nikudharau manake ni mpuuzi tu ndie anaweza kutumia kauli za kibaguzi zinazotumika na wabaguzi! Na kwa kukosa kujitambua kwako ndo maana wala hufahamu kwamba kwa Mzungu Mbaguzi; wewe na familia yako yote ni manyani tu! Shame on You!
 6. M

  Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

  Mikia imechanganya madesa!! Paper la Physics, Mikia imekesha ikimeza notisi za Civics!! In short, Yanga wanamfuatilia Walter Bwalya na sio Larry Bwalya!!!
 7. M

  Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

  ACHA UDINI!! Si ajabu nyie ndo wale wale 2015 kurudi nyuma mlikuwa mnaishabikia upinzani kwa sababu rais alikuwa Mwislamu, na baada ya Ikulu kuingia Mkristo mwenzenu mkaanza kumshabikia rais aliye madarakani kwa sababu tu ya dini yake! Pathetic!
 8. M

  Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

  Ama kweli MUNGU hamfichi mnafiki!!! Aibu yako kwa sababu ulidhani huyo kenge ni Mwislamu kumbe Mkristo mwenzako aliyeamua kuja JF kulalamikia mambo ya kipumbavu kabisa!! Ukweli ni kwamba hakuna watu walalamishi nchi hii kama Wakristo lakini kwa unafiki wenu mnajifanya hamlalamiki! Kila mtu...
 9. M

  Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

  Angalia ulivyo mjinga!! Hoja ya Gwajima nimeleta mimi, sasa suala la "mnaonekana" linatoka wapi?!Btw, ni nani mwenye akili timamu asiyefahamu chuki na udini wa Gwajima?! Kuna Maaskofu, mapadri, Mitume, manabii na wachungaji wangapi?! Ulishawahi kwanini hoja yake niihusishe na Gwajima na sio...
 10. M

  Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

  Acha chuki!! Chuki zako wala hazitaonesha kwamba wewe ni Mkristo Kindakindaki, sana sana zinafanya uonekane another stupid and idiot Christian of Gwajima Type!! Na kwa chuki hizo am certain hata Jesus mwenyewe anakuona ni kizazi cha shetani tu!! Nenda kamuone Gwajima kaonane na Gwajima akupe...
 11. M

  Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

  Unaweza kutaja hizo kauli?! Hivi unaishi nchi gani wewe unayosema eti "maafisa huwa hawamkamati mtu hivi hivi"? Are you serious?! Maofisa hawa hawa wa polisi ambao si mara moja wala mara mbili wamekuwa wakionekana kuishabikia CCM hadharani, au maafisa gani hasa?
 12. M

  Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

  Kwahiyo waraka wa Ponda unahamasisha vurugu nchini, au?!
 13. M

  Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

  Unafiki wa Waislamu upo mikononi mwa BAKWATA kwa ile tabia yao ya kutegemea serikali sio tu kwa kujaza matumbo yao bali hata mustakabali wao.
Top Bottom