Recent content by Myname

  1. M

    CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

    Unaushahidi ya kuwa cdm wanapewa fedha toka mataifa ya nje? au umekurupuka ukaona usitoke JF bila kuandika ki2 leo?.. Rafiki ulionao wote ni wa dini moja? Mbona Vyuo,Shule, wafanyakaz wanaendelea na shughuli zao kila siku sijasikia watu wakipigana kwa sababu ya udini?. Au wewe unamaanisha nini...
  2. M

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Hii habr njema! Serikal hawajalisikia hili wamuwezeshe kuwasaidia watanzania au wwanajifanya hawajui km kawaida yao coz wao wanaenda tibiwa ughaibuni!
  3. M

    Hellooooo

    Naweza pata uraia hapa?
Back
Top Bottom