Recent content by Myheart

  1. Myheart

    Usiyoyajua Kuhusu Batuli

    Amejielezea hapa EXCLUSIVE INTERVIEW: BATULIAHOFIA KUPORWA BWANA | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
  2. Myheart

    naomba jina zuri la ku-save namba ya mke wangu

    Ha ha haaaaaaaaaa! Haki ya nani watu hamjatulia! Lol!
  3. Myheart

    Wanaume na nywele za sehemu ya siri

    Ha ha ha haaaaa! He he heeeeeeeeeee! Inaelekea alikimbilia kutafuta vijiti vya kuchokonolea meno! He he heeeeeee!
  4. Myheart

    10 Places We Can't Believe Exist.

    I wish I could be there to see this!
  5. Myheart

    BABA wa KAMBO KAUA MTOTO WAKE WA KAMBO.mtoto azikwa.

    Sina nguvu ya kubishana rafiki maana najua uko vizuri kwa hoja.
  6. Myheart

    Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

    Kina dada mwaka huu mtakoma na JF. Naona nyuzi za mademu bado zinashushwa tu. Watu hawana tena kitu cha kuandika ni mademu mademu mademu! I'm out of here!
  7. Myheart

    BABA wa KAMBO KAUA MTOTO WAKE WA KAMBO.mtoto azikwa.

    Hilo jicho ni la ukali hebu liangalie vizuri.
  8. Myheart

    BABA wa KAMBO KAUA MTOTO WAKE WA KAMBO.mtoto azikwa.

    Sasa nimerudi nikiwa serious zaidi.
  9. Myheart

    BABA wa KAMBO KAUA MTOTO WAKE WA KAMBO.mtoto azikwa.

    Ningekua mie ningehakikisha na yeye anaozea jela!
  10. Myheart

    Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Inaelekea wewe ni mkoloni uliyepitiliza! Si uoe ngumbaru tu? Dah, ninamhurumia atakayekuwa mkeo.
  11. Myheart

    Utafiti: Wanawake wenye mvuto wa kimapenzi huwa vigumu kwao kuolewa

    Urembo huwatia kiburi wakiamini kuwa kila mwanaume anawataka hapo ndio unashangaa kuona binti mrembo kazaa zaa ovyo na wanaume tofauti. Hana ndoa wala nini anaruka na kila mwanaume huku akijisikia kwa uzuri wake.
  12. Myheart

    Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

    Hilo la "Batuli" ni aka tayari sasa kaongeza na "Cleopatra" baada ya new pedeshee kukolea na kumbatiza upya!
  13. Myheart

    Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

    Karibu Batuli aka Cleopatra. Ila mbona magazeti yanaanza kukubeep au ndio kukupandisha chat? Pedeshee gani tena huyo aliyekumwaga? Au ni CK?
  14. Myheart

    Joseph Mbilinyi (Sugu) ameachiwa na hizi ndio sababu...

    Mtu akitaka asiambiwe hilo neno inabidi awe anapima kauli zake kabla ya kuzitamka. Ukifanya jambo au ukitamka kauli za "kipumbavu" watu watakuita "mpumbavu". Kwa hiyo hilo neno halitolewi tu bila sababu, mbona ni rahisi tu kuelewa?
  15. Myheart

    Joseph Mbilinyi (Sugu) ameachiwa na hizi ndio sababu...

    "Pumbavu" sijatukana.
Back
Top Bottom