Recent content by myfun

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kifo noma

    Familia ilivamiwa na majambazi yakapanga kuwaua wote lakini kabala ya kuwaua. Yakawauliza maswali. JAMBAZI:wewe unaitwa nani. MKE:Elizabeth. JAMBAZI:umesalimika maana jina lako ni kama la mama yangu eeeh na wewe unaitwa nani. MUME:Naitwa John lakini kazini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anataka kuhama sua kisa vyoo vya hostel

    Amekuja kunya au kusoma pumbavuuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania wale 1st year Mzumbe

    Duu yaani kama hujafika hadi sasa hivi wewe kausha hadi kesho kuna bonge la foleni kwenye registration process kibao duu ni sooooo
  4. M

    JamiiForums Tanzania hahahahahhaahahahha walimwengu banah?

    Duuuu hiii kali
  5. M

    JamiiForums Tanzania wale BHRM tuliokosa Hostel za ndani Mzumbe

    Cha umuhimu hapo ndugu zangu ni kubebana tu maana hizo hostel za nje ni gharama kishenzi kama kuna rafiki yako muombe akubebe mtachangia wote gharama maisha yenyewe haya yashakuwa magumu
  6. M

    JamiiForums Tanzania wale BHRM tuliokosa Hostel za ndani Mzumbe

    Japokuwa kwenye joining instruction zao walisema usilipie chumba mpaka uhakikishe umekipata kwanza sasa kama umelipia na chumba haujapata sijui inakuwaje hapo
  7. M

    JamiiForums Tanzania wale BHRM tuliokosa Hostel za ndani Mzumbe

    Jamani wale tuliochaguliwa BHRM na tumekosa hostel za ndani Mzumbe tuwasiliane tujue nn cha kufanya mapema maana hostel za nje ni gharama balaa nicheck kwenye no.0786302961
  8. M

    JamiiForums Tanzania hodiiiii

    Haya jamani nimeshaingia mnipokee
Back
Top Bottom