Recent content by Myfriend

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuota Ndugai kashika daftari la kijani anaandika summary

    Hyo no.4, uliipatia Bhikalamba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuota Ndugai kashika daftari la kijani anaandika summary

    Hongera sana mheshimiwa Tundu Antipas Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha CHADEMA, Mwenyezi Mungu akuongoze katika wakati wako na safari yako ya kuleta mabadiliko katika Chama na nchi yetu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua

    ushauri ulitolewa jumapili na umefanyiwa kazi jumapili ya pasaka..Amen.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    We ngwasi kaman,nimegundua Kwa nn ukiwa central buhongwa ss buhongwa mkolani Mwanza, form 3, ulgombana na kaka ako damas kaman sababu alikula wali wako na maharage.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson anastahili kuwa Rais wa Tanzania

    Kuna ujinga mwingi sana katika hii nchi aisee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Serikali ya Samia imeishiwa hela. Wakandarasi hawajalipwa ndani ya nusu ya mwaka wa Serikali

    Miradi ya serikali Kwa wazawa inachangia Kwa kias kikubwa kuwafilisi,sjui wanaanzisha mirad ya nn kama hakuna fedha
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na familia ya Ben Saanane nendeni kwa Makonda awasaidie kumtafuta

    Chadema tena,wanafichaje au hawafatilii? Vyombo vya ulinzi na usalama ndo vinawajibika kutoa majibu
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na familia ya Ben Saanane nendeni kwa Makonda awasaidie kumtafuta

    Kama ni kweli Kwa nn uchunguzi wa polisi na Vyombo vya Dola visije na taarfa kamili,na Kwa nn chadema ndo wanashinikiza uchunguzi ufanyike?
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na familia ya Ben Saanane nendeni kwa Makonda awasaidie kumtafuta

    Tupe sababu mkuu,Kwa nn hapend hlo jina,wakati alkuwa msaidizi wake na amepambana kumtafta?
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na familia ya Ben Saanane nendeni kwa Makonda awasaidie kumtafuta

    Nafkri ni namna Vyombo vya Dola vinavoshughulika na maswala kama haya,ndo mana unaona watu wanapoteza Iman na hivi Vyombo badala yake wanashtaki Kwa wanasiasa na Cha kushangaza ndo utaskia na mabosi wanapiga simu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Mwaka wa Fedha 2016/2017 hadi Desemba 2023, imewalipa wazabuni na wakandarasi wa ndani zaidi ya Tsh 2.1t kati ya madai ya zaidi ya 3.1

    Duuh,ila Mwigulu basi tu.Hii siasa inaua sana makampunibna kufumuza uchumi,wakandarasi wanadai sana,ila siasa inapigwa tu,waliopo ktk hyo sekta wanajua Kila vikao wanalalamika sana lkn Kwa vile ni biashara na serikali ndo imeshika mpini hakuna mkandarasi atajitia kupaza Sauti sana,Inabidi wawe...
Back
Top Bottom