Recent content by Myfancyface

  1. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

    Sijui ni walimu gani waliokuzunguka. Kuna walimu wanapokea mil 2.5 kwa mwezi.
  2. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajiua kwa Bastola, aacha ujumbe mwili wake uchomwe moto

    Hatuna tabia ya kusoma tukamaliza.
  3. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajiua kwa Bastola, aacha ujumbe mwili wake uchomwe moto

    Kwa hiyo wote waliopo US wanampunga? Baba yake alifariki…
  4. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Siku niliyojua mama yangu anaumwa UKIMWI mwaka 2005

    Mawazo mgando.
  5. Myfancyface

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenipa mdogo wake

    UKIMWI bado Upo.
  6. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Bank ya NMB tawi la Mbezi Beach ina shida gani?

    Fanya tu Sim banking. Transfer fee haifiki hicho kiasi ulichopoteza.
  7. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Nyanda za Juu Kusini rasmi imeibwaga Kanda ya Ziwa kiuchumi na kifursa, watafutaji shitukeni

    Mbeya ina Wakinga hao Wasukuma wa kuchangamsha hawapo. Mada iko wazi, Nyanda za juu kuna fursa kuliko Kanda ya Ziwa
  8. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Watanzania tunapenda kulazimisha Undugu?

    Unfailing uliopitiliza.
  9. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Kuna mwanaume mwenzetu alikuwa anamzalisha mke wake kila mwaka[emoji18]. Iligundulika alikuwa anapenda kunyonya maziwa ya mke wake.
  10. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Wengine mtoto ananyonya la kushoto yeye anachukua la kulia. Yale maziwa kwa hisia zangu yanahitaji moyo mgumu sana kuyanyonya.
  11. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya huwezi kuwaambia chochote kuhusu Sauli yao

    Mimi sio Mluguru ila sipandi gari lolote zaidi ya Abood. BM alijaribu lakini naona amezidiwa.
  12. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Nilichinja kuku na kuwanyonyoa mwenyewe na kubeba ndoo moja kichwani na nyingine mkononi. Nikakatiza Jangwani hapo(nyumba zilikuwepo kipindi hicho) kutoka Moscow kwenda Kkoo kwenye mabucha kuuza hao kuku. Sikuweza kula kuku kwa miezi kadhaa. Namshukuru Mungu niko hapa leo.
  13. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye NMB Mobile inakwambia salio halitoshi

    Sio kweli. Inahitaji bundle la internet sio hicho ulichosema.
  14. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye NMB Mobile inakwambia salio halitoshi

    Download NMB App.
  15. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa na iPhone 13 ukazuga unapiga simu isipokelewe, hiyo itakuwa copy

    Kama huu uzi ni wa mtoto wa kiume utanisikitisha sana. Maisha ya watu yanakuhusu nini[emoji856]?
Back
Top Bottom