Hizo propaganda Tu hamna kitu km hicho(janjaweed) nilitaka kuwatoa watu kwenye mudi na ili ionekane Israeli anachokifanya Gaza sio ttzo, huo ni upuuzi mtupu wa kuedit.watu ndio hawajui na vyombo vingi vya habari myahudi hupitisha uongo .anaishia kuua wananchi lakini Hamas anaua majeshi yake na...
Wanaolalamika hawajui hata UN iko upande wa Israel ila ni kudanganya umma kupitia vyombo vya habari, mbona alipopigwa Israel ndio ikaonekana Hamas gaidi, hizo ni njama Tu za
UN na israel
Hili group bwana Kila mtu anavyo jisikia. hivi kweli watu wote wana uwezo wa kuuza TV hata Mimi sina lkn napambana, hem watupe mchanganuo wa MTU wa daraja ya chin anapataje 30m Kwa miezi 6?
msaada jamani ndugu zanguni wataalamu wa kilimo. nahitaji mashine ya kuvuna mpunga inaitwa power reaper bainder(inavuna nakufunga bando yenyewe)napata wapi na bei ? km inavyoonekana kwenye picha:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.