Recent content by My place

  1. M

    nisaidieni pliz

    Siku zote ndoa inayoendeshwa kwa uwazi wa mambo yanayowahusu wanandoa hujaa amani ya kutosha! Huwa sioni mantiki yoyote ya wanandoa kufichana mambo! Eti simu!,hivi mmeshawahi kujiuliza maisha ya wanandoa yangekuwa na amani kiasi gani kama matumizi ya simu yasingekuwepo?! Kwa nini tumeshindwa...
  2. M

    Hoooodiiiiiiiii! It's me, my place!

    Upendo ndio kitu tunachokihitaji moyoni! Amani ndio kitu tunachokihitaji nafsini! Na furaha ndio kitu tunachokihitaji maishani! Haya jamani mi ndo naingia hivyo nikaribisheni basi!
Back
Top Bottom