Recent content by My Honest Book

  1. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

    Mungu aliekuponya ndo anaejua dhamira yako dhabiti ya kutaka suruhisho, endelea kuwaombea wazaz wako maisha marefu yenye afya na endelea kumuomba Mungu awape mapatano,mana km juhudi za wanadamu zimeshindikana nani mwingne awezaye km sio Mungu?!
  2. My Honest Book

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

    Manz ushaachana nae iyo chuki yake unaijuaje, ama huwa unaendelea kusumbua
  3. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Unamaanisha aanze kuwachungulia mpk atakapoipata iyo video
  4. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara. Msidanganyike!

    Amini brother,hii ndo dizain ya ndoa ambayo me naitaka,namsikiaga na baba Levo pia ndo kitu anachoamini sema Mama Ruby hataki kubak ndan hata akipewa kila kitu
  5. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara. Msidanganyike!

    Ushaur wangu kwa wanaume km unaweza oa mwanamke mwny nidham na mapenz kwa familia mengne ya uzur utayatafuta kwa michepuko uko (though simaanish mke wako awe mbovu hapana) then muweke ndan awe available any time ukiwa unarud ,pia km anapenda kutoka at least once in a month mnapumzika mnaenda...
  6. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara. Msidanganyike!

    Role model wangu kwny maisha ni bro wangu wa kwanza asee Mungu ni mwema kaoa manz yake wa zaman ambae ni form four graduate hakuendelea tena, she's at home now bro kampeleka cooking schools hiz asa iv she's working from home anapika Kila kitu ,anakula kitu home anachohitaj kwny mapish yake ya...
  7. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aungana na Bashe na kutuacha midomo wazi wakati sisi tulitaka huu mgogoro udumu milele

    M Mimi sio mmoja wa watu ninaoamini katika ugomvi,mifalakano ama kutokuelewana kwa wanasiasa,mana atakaeumia ama kufaidika ni mnufaika wa mwisho ambae ni sisi wananch,so kama wamepatana na kukubaliana kilichobora kwa manufaa ya wananch wa Luhaga then acha iwe ivyo
  8. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Bado nawaza ni kwanini Polisi wamezuia maandamano ya CHADEMA?

    Sisi tuliokubaliana na kuamini katika haya maandamano Cha kufanya ni kupuuza tamko la hao polisi na kuendelea kujiandaa na iyo 23rd , serikali inaongozwa na kichwa Cha mwendawazimu unategemea polisi wasemaje
  9. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania KERO Inakera sinki za kukojolea za vyoo vya wanaume kukaribiana sana bila vitenganishi

    Hii miundombino bora sana,sema ndo uhalisia hatuwez kuwa kwasababu ya ustaarabu mdg wa wanaojenga
  10. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Jikosoe udhaifu wako [Thread]

    Hii inanihusu mm kabsa kwa asilimia zote,ila nataka niiache inanigombanisha sana na mwanamke wangu
  11. My Honest Book

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa Kum - block na kum - unblock X (mpenzi wa zamani) moja kwa moja

    Kuna haja Safina la Nuhu kujengwa upya gharika lingne lije,uzao mpya uje tuone na wenyewe utakua na maajabu gan mana kwa hiki kizazi chetu kimeshindikana
  12. My Honest Book

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Sio kila unachotamani kitakua,akili za wanawake bhana eti natamani kuwa mchepuko km vile jamaa bado anamuwazia,utakua na majuto mangap ewe mwanamke,leave the past where it belongs move on kuna neema yako mbele acha kuwaza ujinga Km alikua na wanawake wengne kumuacha ulikua ni uamuz sahihi,so we...
  13. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

    Kwa sentnce nyngne yeny maana sawa na hii unasema hii biashara haiwezekan kupotezwa au sio
  14. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Unakuabaliana na mimi kuwa tungekuwa na Wakuu wa Mikoa kama Makonda tusingekuwa na haja ya Wabunge?

    Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya. Ni hivi wakuu, mimi kwa ufatiliaji wangu wa utendaji kazi wa RC Makonda tangu aanze majukumu yake km Mkuu Wa Mkoa wa Arusha...
Back
Top Bottom