Recent content by my gloria

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hoja ya JK juu Rwanda nani mzalendo, Baregu & Mkumbo na Dr. Slaa!

    KUWA CCM KAZI JAMANI DAH!....ANDIKA ALICHOONGEA DOKTA NA WALICHOONGEA WENGINE THEN NDO TUANZE KUCHANGIA CO UNAANDIKA2 THEN UNAZNGUA....PUNGUZA NJAA KAKA NAPE....unajitia aibu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Ugaidi wa CHADEMA watoka wasimulia walivyolazimishwa kusema

    huyo mbunge wa chadema mwekeni hadharani co kuanza kuficha uchafu hapa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba ndio wanaokidhalilisha na kuitia aibu CCM!

    hawatusumbui hao cc tunasonga mbele....then umasikini ukiuendekeza watu watakula vyao ohooo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chifu wa Usafwa na wengine makumi wahamia CHADEMA

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    Hivi wanasheria wote wale wakakaa...wakajiridhisha kwamba kuna tatizo...THEN SOME BODY ANAKUJA NA KUVIKOSOA VICHWA VYOTE VILE.....tukiuliza taaluma yake cjui atatuambia ukwel au atadanganyaaa!
  6. M

    JamiiForums Tanzania ITV na mahojiano kati ya Dr.Slaa, Mzee Philip Mangula na Mtangazaji!

    Ccm kwishneeeeey.....mzee mangula hurumaaaa..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

    BORA UNGEANDIKA....mavi,mavi,mavi,mavi,au mavi mkojo,mavi mkojo,mavi mkojo kuliko huu uchafu uloandika hapa......KACHUKUE BUKU SABA LUMUMBA.
  8. M

    JamiiForums Tanzania LHRC Wako sahihi kumshitaki Mizengo Pinda

    PINDA uwaziri mkuu umemshushia heshima...tumemjua vizuri sasa....sura na roho yake are the same.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Simu Utafeli...

    Kama mnajua kuna bunge kwanini msingesubiri utaratibu kabla ya kuanzisha hilo?...mkajifanya ni dharula....ni kwa ajili ya kampeni 2014/2015 huo ndo ukweli japo mchungu....hamumpati mtu ccm na ndo mana mwanakijiji kaamua kubaki huko....me pia ingekuwa na uwezo hili li nchi ni la kulihama tu hadi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kwa mbinu hii ya Bukoba, JK anatisha

    Hahahahahahahahahaaaaaaa wameenda na wasanii kama kawaida yao xo watu wanaenda kumwona diamond,juma nature na wengineo duh!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    IDI AZAN weeeeee afu mwezi huu nae kafunga anasubiri siku afuturishe.....kama sio kumdhihaki mungu ni nin?.....serikali hakuna itachofanya ila angekuwa mwngine tsatsaaa...haya bwana RAMADHAN KAREEM MH AZAN.
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamepewa mabilioni kuchafua zoezi la Katiba mpya - Nape

    Kweli kuna kitu tunaita kutetea ugali wa watoto bt kaka nawe UGALI WAKO UNAUTETEA VIBAYA....njaa njaa gani NAPE?......kafungue mashtaka si una ushahidi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Kijanaaaaaaaa jeuri ya madaraka eenh?....kama kauli ulishaongea nyingi sana chafu xo mazingira yanakubana2 mkuu huna pa kutoke UMEKOSA ADABU KWA MENGI2 NA SIO HILI LA WAZEE PEKEE....NA TUTATEGEMEA KUSIKIA YA UPUUZI MENGI TU UKIENDELEA KUWA NDANI YA CCM....tunasubiri jingine.
  14. M

    JamiiForums Tanzania William Malecela kumvaa Lusinde uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Mtera!

    Ufaransa unapoomba kazi huwa wanapendasana uandike barua ya maombi kwa mkono....sababu ni kwamba uandishi wa mtu huonesha tabia zake...huyo jamaa simjui na sijawahi mfuatilia bt the way anavyoandika sipati shida kujua ni mtu wa aina gani pia najua kama uongozi kitaifa basi kapewa kwa kigezo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania William Malecela kumvaa Lusinde uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Mtera!

    Maskini mteraaaaa....afu hawa ma ccm wasijifanye haya majimbo ni ya ukoo..eti katoka baba aje mtoto kama arumeru mashariki -------,lusinde ni hovyo bt mtoto wa malechela atafute kwngine naeeee kha!!!!!!!.
Back
Top Bottom