Recent content by My country

  1. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    Na waliooa makabila mengne washakupa mrejesho?
  2. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    Dont worry, i will change.
  3. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    Kweli mkuu, had wanakera.
  4. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    Usilete ukabila hapa. Fuata Kanuni na taratibu za Kisarufi, je neno hilo limekosewa ktk uandishi.?
  5. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    kweli aisee, kwan husband to be anatakiwa aandkaje? Atujuze basi.
  6. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    Cjakulia Njombe japo ndo mackan, nmekulia Ruvuma ambako ndko nlikozaliwa. Ni kweli nmedata na mtt mweupeeeee!
  7. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    tehe tehe tehe, kaz ipo! Wanapatkana mbona.
  8. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    Achana naye kuna watu wengne wana strees zao wanakuja kumalizia hapa.
  9. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    wao co tatzo, washanpokea na washanpangia na mahal, kaz imebak kwang. Kadi utapata ukhitaj.
  10. M

    Siangalii kabila, nimempenda mtoto wa kichaga.

    Habarin wadau.., Nmekuwa nkikerwa na mada zinazoletwa hapa na watu wasiojua chochote zikiwaponda dada zang wa kchaga. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa mimi ni Mbena wa huko Njombe. Kwangu mie kabila co tatzo, ktk kushow upendo cchagui kabila, nshamchumbia mtt wa kchaga kutoka huko Rombo na...
  11. M

    kata ya nsenda-Urambo Tabora kumenukaa,watu wanakimbia makazi yao!

    kwani hujui Policcm muda mwngne hugeuka majambaz? Hv unadhan walyovaamia ki2o cha polc makao mwanza na kukwba nyaraka ni raia? Uwe unafunguka.
  12. M

    Kushindwa kwa mpango wa CHADEMA na matokeo ya kudharauliwa na Watanzania!

    Hongera sana mkuu, umeonyesha upeo mkubwa sana wa kujib hoja. Nafkr mleta mada atajuta kwnn kaileta mada hyo. Kwamba Ccm ni chama cha matajr! Bac mackn na waachwe wakalikomboe taifa lao kuptia chama chao pendwa{CHADEMA}
Back
Top Bottom